Mnawezaje kupata vibali vya ujenzi?

Mnawezaje kupata vibali vya ujenzi?

Hardlife

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2021
Posts
2,758
Reaction score
6,299
Aisee hivi mnapataje vibali vya ujenzi?

Nimefuatilia sasa mwezi wa pili mpaka nakata tamaa. Mbona kuna urasimu sana? Hiyo Ubungo.
 
Vaa shati la mikono mirefu Mzee uanze ujenzi wako.
Aisee sivai kabisa. Jumatatu nataka kumuona Mgurugenzi hadi DC ili wanieleze nifanye nini ili nipate kibali. Maana kila kitu nimekamilisha.
 
Ujinga huu ndio nilikataa mie, nilianza Ujenzi kabla ya kibali maana unazungushwa wee mpaka hela yenyewe upate majanga maana hukawii kuletewa taarifa shangazi kameza kabati la nguo inatakiwa opreshen...
p

Wewe ni kama mimi nimeanza kujenga bila kibali mana niliomba nikaona kinachukua mda nikaona isiwe tabu
 
Watakushauri utumie Principle ya "Kula-Uliwe"
 
Ujinga huu ndio nilikataa mie, nilianza Ujenzi kabla ya kibali maana unazungushwa wee mpaka hela yenyewe upate majanga maana hukawii kuletewa taarifa shangazi kameza kabati la nguo inatakiwa opreshen...
p
Waliniahidi leo but chali. Hawa jamaa sijui wananini aisee. Rushwa sitoi.
 
Umeshindwa hata kutumia mtendaji wa mtaa au kata akusaidie? Acha ubahili, wape vijana virukuu wafunguke.Jifanye kibri utaona soon
 
Ujinga huu ndio nilikataa mie, nilianza Ujenzi kabla ya kibali maana unazungushwa wee mpaka hela yenyewe upate majanga maana hukawii kuletewa taarifa shangazi kameza kabati la nguo inatakiwa opreshen...
p
Wee jamaa unichekesha sana. Ila usemalo ni kweli kabisa
 
Nenda kwa mtendaji kata fasta tu unapata kibali
 
Back
Top Bottom