Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

Hapo hapo wapo wanawake wakisusiwa wasiombwe mpaka hela watatoa ili wapate. Mambo ya ngono yaachwe tu kama yalivyo.
 
Simple method ni kulipia baada ya huduma. Mkikutana tu na kumalizana pima huduma uliyopewa ili ujue unampa kiasi gani kama shukrani. Then kila mtu ashike hamsini zake. Kibubu kikijaa tena ufanye the same, lakini kama unaona una pesa za kutosha kutoa huduma sio vibaya...
 
Thubutuu wanawake wa Tanzania na kukumbwa na matatizo baada ya kutongozwa haina uhusiano na kuombwa uchi.
Hahah sasa shida ikikubana si unamuuliza jirani akoo
 
Akikupa namba uka chati nae siku tatu tuu bila hata ya kumtongoza lazima akupige bomu la hypersonic, asubiri kuombwa "k" yeye anapasuka tuu, Shida yenu kubwa mmegeuza mahusiano kua sehemu ya kujipatia kipato mnaleta ujasiriamali kwenye mahusiano, vijana wa hovyo wanaita "ujasiria k" matokeo yake ni kuendelea kutumika kama toilet paper tuu, 🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
Wengine wanaomba hela wala hatuja omba chochote kwao wenyewe wanasema hyo ndio njia ya kuangalia upendo kwa mwanaume na kukimbiza wanaume wenye nia ovu.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
So unaiuza au? Si utaje bei kabisa mapema tumalizane
 
Halafu kuna ile ya kuambiwa naumwa. Huo ni mtego ukijifanya unajua kucare utaambiwa kaandikiwa dawa za elfu 35 ila yeye ana elfu 10 tu na hajui atafanya nini [emoji23][emoji23][emoji23]

IL wanawake [emoji119]
Tuvumiliane jaman [emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlikuwa sijui kumbe ni barter trade sio, ili upewe punany unatakiwa ucompesate pesa, yan wanawake mbona mnafanya value yenu ishuke ivyo? Yan umefikiria ukaona pussy huwa inabadilishwa na fedha? Hilo limange lenyewe beki hazikabi kwanza chembamba kama bimkora ila mashauz utasema yeye beyonce, kudadeki... Ndio mana watu wanawadharau ndio mana watu hawatongozi sikuiz, utashangaa mtu anamtangazia mwanamke dau alafu anamwambia twende nikakukaze sasa si ndio logic nzima ya muktadha wa nipe nikupe, mapenz yako wapi?
 
Sijui kwanini hawataki kuombwa Hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…