Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

Mnayasababisha wenyewe halafu mnalalamika

Shida sio kuomba hela shida ni kuwa Omba omba, ukiombwa utelezi jumlisha gharama zako zote za kutoa utelezi ziunganishe kwenye Bill moja. Sio mara naomba hela ya kusuka, mara naomba hela ya bando mara naomba hela ya kula, mara baba anaumwa etc. Kwani kabla ya kukutongoza ulikuwa hauli au hauweki bando?? We piga gharama zako zote kisha niambie ili nikupatie utelezi jumla ya gharama zangu ni Tsh. XX, kisha mimi ndio niangalie hizi gharama kwa huu mzigo zinaendana? Kama zinaendana nifanye malipo unipatie huduma, nikikuhitaji tena unaniandikia bill nyingine. Simple namna hiyo.
I like this MastaKiraka unatendea haki jina 🤣🤣🤣
 
Akikupa namba uka chati nae siku tatu tuu bila hata ya kumtongoza lazima akupige bomu la hypersonic, asubiri kuombwa "k" yeye anapasuka tuu, Shida yenu kubwa mmegeuza mahusiano kua sehemu ya kujipatia kipato mnaleta ujasiriamali kwenye mahusiano, vijana wa hovyo wanaita "ujasiria k" matokeo yake ni kuendelea kutumika kama toilet paper tuu, [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Mkuu wanawake wakiacha kuomba hela ndiyo mtawaoa mapema siyo
 
Nlikuwa sijui kumbe ni barter trade sio, ili upewe punany unatakiwa ucompesate pesa, yan wanawake mbona mnafanya value yenu ishuke ivyo? Yan umefikiria ukaona pussy huwa inabadilishwa na fedha? Hilo limange lenyewe beki hazikabi kwanza chembamba kama bimkora ila mashauz utasema yeye beyonce, kudadeki... Ndio mana watu wanawadharau ndio mana watu hawatongozi sikuiz, utashangaa mtu anamtangazia mwanamke dau alafu anamwambia twende nikakukaze sasa si ndio logic nzima ya muktadha wa nipe nikupe, mapenz yako wapi?
Mkuu kiukweli walioanza uhuni ni wanaume yani wanaume ndio walianza kukosa mapenzi ya dhati kisha wanawake wakaamua kutambaa na beat

By the way wanaume kuwadharau wanawake hamjaanza leo mlianza tangu enzi za mababu wala msisingizie kwamba pesa ndio sababu yani ninyi huwa mnawadharau wanawake naturally tu

Yani tofauti ni kwamba tu zamani mlikuwa mnawadharau wanawake bure ila siku hizi mnawadharau kwa gharama yani wameona walau nao waambulie chochote kitu kuliko kudharaulika bure tu
 
Wanaume hatususi ngono. Ila naamini wapo wanawake inaowalazimu kulipia ili wapate hiyo huduma.
Wanawake wengi wanaolipia ni wale 'wabovu' kwa mujibu wenu
 
Halafu kuna ile ya kuambiwa naumwa. Huo ni mtego ukijifanya unajua kucare utaambiwa kaandikiwa dawa za elfu 35 ila yeye ana elfu 10 tu na hajui atafanya nini [emoji23][emoji23][emoji23]

IL wanawake [emoji119]
Hii imenitokea dakika chache zilizopita[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom