financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Nimekuja speed nilihisi either kapata accident or chochote kibaya😪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisaDawa ya mjinga kumnyamazia
Nafikiri kama ni kweli anashambulia upande wa pili kama unavyodai,the best way upande wa pili wanatakiwa kufanya ni kukaa kimya
🤣🤣🤣🤣Bila ushahidi, hizi zinabaki kuwa porojo tu.
Labda la mfadhaiko, wanini hapo ndo bado sijajuaUnahisi atakuwa ana tatizo gani?
Kwa hali ile anahitaji angalau ushauri.Msaada wa haraka hapo mbona hahuhitajiki mkuu.
Ni kweli. Anamahambulia sana diamond, sijajua kwa kweli anafaidikaje au anajaribu NITOKE VIPI tena! Bahati mbaya lift anayodandia hawamjibu maneno yake.Dawa ya mjinga kumnyamazia
Nafikiri kama ni kweli anashambulia upande wa pili kama unavyodai,the best way upande wa pili wanatakiwa kufanya ni kukaa kimya
nilifikiri harmonize yuko njiani kumshirikisha lakini naona idadi ya nyimbo zinaongezeka tu na hakuna dalili ya kushirikishwaNi kweli. Anamahambulia sana diamond, sijajua kwa kweli anafaidikaje au anajaribu NITOKE VIPI tena! Bahati mbaya lift anayodandia hawamjibu maneno yake.
Ni kweli. Anamahambulia sana diamond, sijajua kwa kweli anafaidikaje au anajaribu NITOKE VIPI tena! Bahati mbaya lift anayodandia hawamjibu maneno yake.
Ila mi si kioo cha jamii kama yeye na hivyo sina impact yoyote maana hakuna hata anayenijua. Matatizo yangu nayamaliza na waswahili wenzangu huku uswahilini kwetu.Mleta mada mwenyewe anahitaji msaada
Hbaba si niliona anajenga nyumba ya ghorofa mwanza? Kashamaliza?Alifahamika kama mwanamuziki (sijui shughuli yake siku hizi).
Hivi karibuni ameibuka na mtindo wa kumshambulia mwanamuziki diamond kwa kila anachofanya.....imefikia hatua hata ya kujilinganisha nae kwa anavyonunua. inasikitisha!
Sielewi anafaidikaje au anakitafuta nini katika mashindano hayo na hata siioni dalili yoyote ya ye kuibuka mshindi ikiwa upande wa pili nao utaamua kuingia katika bifu. mbaya zaidi kwa tabia yake hii anamharibia hata harmonize ambaye ameonyesha heshima kubwa kwa bosi wake huyo wa zamani kupitia nyimbo zake.
Mlio karibu msaidieni huyo kijana, ajikite kwenye issues zake.....kama ana hasira sana na anahitaji kutuliza akili basi mwambieni kuna 'dodo' mtaani huko aende akaisikilize atarudiwa na busara!!