Mnayemfahamu au mlio karibu na H. Baba, msaidieni haraka sana - amekwama

Mnayemfahamu au mlio karibu na H. Baba, msaidieni haraka sana - amekwama

Dawa ya mjinga kumnyamazia

Nafikiri kama ni kweli anashambulia upande wa pili kama unavyodai,the best way upande wa pili wanatakiwa kufanya ni kukaa kimya
Ni kweli kabisa
 
Dawa ya mjinga kumnyamazia

Nafikiri kama ni kweli anashambulia upande wa pili kama unavyodai,the best way upande wa pili wanatakiwa kufanya ni kukaa kimya
Ni kweli. Anamahambulia sana diamond, sijajua kwa kweli anafaidikaje au anajaribu NITOKE VIPI tena! Bahati mbaya lift anayodandia hawamjibu maneno yake.
 
Ni kweli. Anamahambulia sana diamond, sijajua kwa kweli anafaidikaje au anajaribu NITOKE VIPI tena! Bahati mbaya lift anayodandia hawamjibu maneno yake.
nilifikiri harmonize yuko njiani kumshirikisha lakini naona idadi ya nyimbo zinaongezeka tu na hakuna dalili ya kushirikishwa
 
WCB Mlishindwa kumshauri Dudu baya wakati mnamtumia kutukana na kudhalilisha watu bichwa likamvimba mpaka akapotea, nyinyi nyinyi leo hii mnataka H baba ashauriwe,. Tulieni dawa Iwaingie sawa sawa
 
Kutokana na Ushauri wa chama changu cha ccm , Mimi Niko upande H.baba wasafi walimtuma Dudu baya kuzalilisha watu sasa Dudu baya amekufa chaliii nizamu ya H.baba
 
H Baba ana hasira na Mondi ..aliibiwa wimbo wake studio na Mondi
 
Huyu wa kuitwa H Baba ana mauno huyo. Nani alisema wasukuma hawajui kukata mauno?
 
Alifahamika kama mwanamuziki (sijui shughuli yake siku hizi).

Hivi karibuni ameibuka na mtindo wa kumshambulia mwanamuziki diamond kwa kila anachofanya.....imefikia hatua hata ya kujilinganisha nae kwa anavyonunua. inasikitisha!

Sielewi anafaidikaje au anakitafuta nini katika mashindano hayo na hata siioni dalili yoyote ya ye kuibuka mshindi ikiwa upande wa pili nao utaamua kuingia katika bifu. mbaya zaidi kwa tabia yake hii anamharibia hata harmonize ambaye ameonyesha heshima kubwa kwa bosi wake huyo wa zamani kupitia nyimbo zake.

Mlio karibu msaidieni huyo kijana, ajikite kwenye issues zake.....kama ana hasira sana na anahitaji kutuliza akili basi mwambieni kuna 'dodo' mtaani huko aende akaisikilize atarudiwa na busara!!
Hbaba si niliona anajenga nyumba ya ghorofa mwanza? Kashamaliza?
 
Sifahamu kabisa mtu huyu kama yupo.
Utakua unamfuatilia. Acha.
 
Back
Top Bottom