Mnayemfahamu au mlio karibu na H. Baba, msaidieni haraka sana - amekwama

Mtoa mada anapaswa kupewa ushuri kuliko hata huyo H.baba mwenye maisha yake mazuri.

Wewe mtoa mada unamtetea Dudu baya alafu unamponda H.baba Ujinga mtupu H.baba anaongea huku Babu talent nimchawi.

Mnyama mkali @Robinidinyo ebu tia neno.
 
yaani nyie watu wa vigodoro bila kuchamba hamjisikii!! kuna taarifa gani za h.baba zilizoombwa hapo we kibiritingoma hadi yakutoke yote hayo?!!! kwani msaada (ndo jambo kubwa lililozungumzwa) wanapatiwa wanawake tu?!!!
 
Mtoa mada anapaswa kupewa ushuri kuliko hata huyo H.baba mwenye maisha yake mazuri.

Wewe mtoa mada unamtetea Dudu baya alafu unamponda H.baba Ujinga mtupu H.baba anaongea huku Babu talent nimchawi.

Mnyama mkali @Robinidinyo ebu tia neno.
Mwanangu nimetia neno mapema tu ila Comment yangu imefutwa na haikua na tusi..
 
Mtoa mada anapaswa kupewa ushuri kuliko hata huyo H.baba mwenye maisha yake mazuri.

Wewe mtoa mada unamtetea Dudu baya alafu unamponda H.baba Ujinga mtupu H.baba anaongea huku Babu talent nimchawi.

Mnyama mkali @Robinidinyo ebu tia neno.

kama umenisoma vizuri, kuna 'Dodo' linalotrend huko mitandaoni nimelitaja katika hiyo para ya mwisho..........sina ushabiki hata punje wa wcb, nielewe vizuri sana!
 
Harmonize atakuwa anafurahia hayo mambo. Nahisi harmonize anatamani sana agombane na Diamond ila anaogopa kuingia yeye mwenyewe miguu yote,hivyo anapandikiza pa kuingilia
 
Harmonize atakuwa anafurahia hayo mambo. Nahisi harmonize anatamani sana agombane na Diamond ila anaogopa kuingia yeye mwenyewe miguu yote,hivyo anapandikiza pa kuingilia
aache tamanio hilo, halitamsaidia kwa muda huu
 
Huyo analipwa kwa kufanya huo ujinga,ndio kula yake hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H dingi ni dalali wa magari jijini Mwanza siku hizi

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…