Mnayemfahamu au mlio karibu na H. Baba, msaidieni haraka sana - amekwama

Mnayemfahamu au mlio karibu na H. Baba, msaidieni haraka sana - amekwama

Labda ghorofa la mabox

Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 😀 👇👇👇
HBA.jpg
 
Huyu shobo na Diamond alianza zamani, tangu enzi zile za No1 alidai kaibiwa wimbo, hadi leo hii shobo hazijaisha sijui ndo zinamsaidia kupata mkate wa kilasiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom