Mnazionaje Ladha za Bia Siku Hizi?

Mnazionaje Ladha za Bia Siku Hizi?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hili nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyingi sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa , udadisi wangu umenionesha kwamba'

  1. Nyingi ya Bia ukinywa ni kama unakunywa maji tu (ladha ya maji inatawala sana
  2. ladha ya asili huisikiii kabisa
  3. inakuchukua muda mwingi/bia nyingi sanai sana kulewa
  4. kuna kaharufu fulani kanajitokeza kwa baadhi ya bia
  5. inasemekana zinaongezewa sukari nyingi sana
  6. Inasemekana bia za sasa zinatengenezwa na mahindi badala ya shairi
  7. ...........................................ongeza

ukienda kwenye konyagi ndio kabisaaaaaa...............of course iko wazi kwamba inasemekana konyagi nyingi hutengenezwa manzese na je Bia pia????
 
Siku hizi soko limeongezeka kwa hiyo hawaziachi mpaka zikaiva vizuri na kingine expire date yake imeshushwa pia toka miezi 6 kwa tbl hadi 4 tu huku serengeti toka mwaka hadi miezi 6...
 
Juzi nimekunywa castle Lager , ina muhuri unaoonyesha kuwa imetokabkiwandani siku mbili nyuma yaani 48 hours.....hapo bia haiwezi kuwa imepoa kufikia kiwango cha kunywewa.
ndio maana wanashauri ukitaka bia iliyoiva nenda kwenye bar ndogo zisiO na idadi kubwa ya wateja...au unywe bia IsiO nabwateja wengi kama Plisner, Guines, Bingwa, au Bavaria 8.6
 
Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hil nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyini sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa , udadisi wangu umenionesha kwamba'

  1. Nyingi ya Bia ukinywa ni kama unakunywa maji tu (ladha ya maji inatawala sana
  2. ladha ya asili huisikiii kabisa
  3. inakuchukua muda mwng/bia nyingi sanai sana kulewa
  4. kuna kaharufu fulani kanajitokeza kwa baadhi ya bia
  5. ...........................................ogeza

ukienda kwenye konyagi ndio kabisaaaaaa...............of course iko wazi kwamba inasemekana konyagi nyingi hutengenezwa manzese na Bia pia????

5......bia za siku hizi housegirl anaonekana kama housewife!!
6.....
 
Kumbe ndivyo Asante Mungu kuniepushia mbali hii kitu na kunifanya nipende Stone Tangawizi...
 
bia ni haramu na ndio chanzo cha maasi yote...
 
Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hil nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyini sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa , udadisi wangu umenionesha kwamba'

  1. Nyingi ya Bia ukinywa ni kama unakunywa maji tu (ladha ya maji inatawala sana
  2. ladha ya asili huisikiii kabisa
  3. inakuchukua muda mwng/bia nyingi sanai sana kulewa
  4. kuna kaharufu fulani kanajitokeza kwa baadhi ya bia
  5. ...........................................ogeza

ukienda kwenye konyagi ndio kabisaaaaaa...............of course iko wazi kwamba inasemekana konyagi nyingi hutengenezwa manzese na Bia pia????

hamia kwenye gongo...ina ladha nzuri na inalewesha fasta
 
hapa mkuu KakaKiiza na kiongozi Asprin wao wanajua zaidi ladha za hivyo vitu ulivyotaja
Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hil nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyini sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa , udadisi wangu umenionesha kwamba'

  1. Nyingi ya Bia ukinywa ni kama unakunywa maji tu (ladha ya maji inatawala sana
  2. ladha ya asili huisikiii kabisa
  3. inakuchukua muda mwng/bia nyingi sanai sana kulewa
  4. kuna kaharufu fulani kanajitokeza kwa baadhi ya bia
  5. ...........................................ogeza

ukienda kwenye konyagi ndio kabisaaaaaa...............of course iko wazi kwamba inasemekana konyagi nyingi hutengenezwa manzese na Bia pia????
 
Last edited by a moderator:

Huu Uzi unawahusu WALEVI WENZIO nadhani.... sisi wengine hayatuhusu hayo mambo ya kharam
 
Mi naona ndo zinalewesha zaidi. Ebu angalia hapa jamaa alivyoandika. kama sio ulevi wa hizo bia ni kitu gani
 
Juzi nimekunywa castle Lager , ina muhuri unaoonyesha kuwa imetokabkiwandani siku mbili nyuma yaani 48 hours.....hapo bia haiwezi kuwa imepoa kufikia kiwango cha kunywewa.
ndio maana wanashauri ukitaka bia iliyoiva nenda kwenye bar ndogo zisiO na idadi kubwa ya wateja...au unywe bia IsiO nabwateja wengi kama Plisner, Guines, Bingwa, au Bavaria 8.6

kweli kabisa mkuu..
 
Back
Top Bottom