Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona sinywi bia umri wangu umeishapita katika hizo makitu mimi ni mtu re brandee ze govindar kumar na whisky kwa jioni bia zenu zinapikwa leo zipo baa ya tarimo nataka ukifika nyumba unaziharisha no.
Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hili nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyingi sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa , udadisi wangu umenionesha kwamba'
- Nyingi ya Bia ukinywa ni kama unakunywa maji tu (ladha ya maji inatawala sana
- ladha ya asili huisikiii kabisa
- inakuchukua muda mwingi/bia nyingi sanai sana kulewa
- kuna kaharufu fulani kanajitokeza kwa baadhi ya bia
- inasemekana zinaongezewa sukari nyingi sana
- Inasemekana bia za sasa zinatengenezwa na mahindi badala ya shairi
- ...........................................ongeza
ukienda kwenye konyagi ndio kabisaaaaaa...............of course iko wazi kwamba inasemekana konyagi nyingi hutengenezwa manzese na je Bia pia????
Mbona sinywi bia umri wangu umeishapita katika hizo makitu mimi ni mtu re brandee ze govindar kumar na whisky kwa jioni bia zenu zinapikwa leo zipo baa ya tarimo nataka ukifika nyumba unaziharisha no.
Wewe ni kipele tafuta wa kuku kuna, kilichokufanya ubofye herufi zote hapo ni nini kama haikuhusu!?...
Kiukweli beer karibu zote zinazotengenezwa na plants za dar hazikidhi viwango vinavyotakikana. Kuna kipindi nilienda songea nikanywa safari lager iliyotengenezwa na plant ya mbeya mmmh ilikuwa swadakta kabisa yaani nzito tamu kama naniiliino vile plus ile baridi ya songea duuu nilizitwanga kisawasawa!
Siku mingi najitwangia zangu bavaria "kidoti" (8.6) sema ile dark radha yake ya kahawa siikubari kiviile. Beer nyingine tamu ni singha na windhoek japo hazileweshi haraka.
Hara watoto wadogo wanagida siku hizi!wala kupayuka, baa nyingi zimetulia sana siku hizi
Karibu bia zote kwa sasa zinatengenezwa kwa mahindi badala ya barley ndo maana zipo kama mimaji ni bia kama aina tatu tu zinatengenezwa kwa barley moja wapo ni castle lager. lakini vibia vingine vyote ni mahindi ukinywa ni sawa kunywa komoni ya wahehe.
What about guiness, serengeti and tusker