MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
hamia kwenye gongo...ina ladha nzuri na inalewesha fasta
kama kinana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamia kwenye gongo...ina ladha nzuri na inalewesha fasta
Siku hizi kila nikinywa bia hata demu mbaya namuona mzuli halafu nachelewa kulewa.
Juzi nimekunywa castle Lager , ina muhuri unaoonyesha kuwa imetokabkiwandani siku mbili nyuma yaani 48 hours.....hapo bia haiwezi kuwa imepoa kufikia kiwango cha kunywewa.
ndio maana wanashauri ukitaka bia iliyoiva nenda kwenye bar ndogo zisiO na idadi kubwa ya wateja...au unywe bia IsiO nabwateja wengi kama Plisner, Guines, Bingwa, au Bavaria 8.6
Na ndio maana hata harufu ya mikojo ya walevi imepungua kunuka....
Huu Uzi unawahusu WALEVI WENZIO nadhani.... sisi wengine hayatuhusu hayo mambo ya kharam
Siku hizi soko limeongezeka kwa hiyo hawaziachi mpaka zikaiva vizuri na kingine expire date yake imeshushwa pia toka miezi 6 kwa tbl hadi 4 tu huku serengeti toka mwaka hadi miezi 6...
Juzi nimekunywa castle Lager , ina muhuri unaoonyesha kuwa imetokabkiwandani siku mbili nyuma yaani 48 hours.....hapo bia haiwezi kuwa imepoa kufikia kiwango cha kunywewa.
ndio maana wanashauri ukitaka bia iliyoiva nenda kwenye bar ndogo zisiO na idadi kubwa ya wateja...au unywe bia IsiO nabwateja wengi kama Plisner, Guines, Bingwa, au Bavaria 8.6
Karibu bia zote kwa sasa zinatengenezwa kwa mahindi badala ya barley ndo maana zipo kama mimaji ni bia kama aina tatu tu zinatengenezwa kwa barley moja wapo ni castle lager. lakini vibia vingine vyote ni mahindi ukinywa ni sawa kunywa komoni ya wahehe.
Kiukweli beer karibu zote zinazotengenezwa na plants za dar hazikidhi viwango vinavyotakikana. Kuna kipindi nilienda songea nikanywa safari lager iliyotengenezwa na plant ya mbeya mmmh ilikuwa swadakta kabisa yaani nzito tamu kama naniiliino vile plus ile baridi ya songea duuu nilizitwanga kisawasawa!
Siku mingi najitwangia zangu bavaria "kidoti" (8.6) sema ile dark radha yake ya kahawa siikubari kiviile. Beer nyingine tamu ni singha na windhoek japo hazileweshi haraka.