Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Kwa kweli dunia tuendayo inazidi usanii kila uchao, hili nalizungumza baada ya mimi mwenyewe kushuhudia na kufanya kaudadisi kwamba bia nyingi sasa hivi zimepoteza mvuto wake wa awali kabisa , udadisi wangu umenionesha kwamba'
ukienda kwenye konyagi ndio kabisaaaaaa...............of course iko wazi kwamba inasemekana konyagi nyingi hutengenezwa manzese na je Bia pia????
- Nyingi ya Bia ukinywa ni kama unakunywa maji tu (ladha ya maji inatawala sana
- ladha ya asili huisikiii kabisa
- inakuchukua muda mwingi/bia nyingi sanai sana kulewa
- kuna kaharufu fulani kanajitokeza kwa baadhi ya bia
- inasemekana zinaongezewa sukari nyingi sana
- Inasemekana bia za sasa zinatengenezwa na mahindi badala ya shairi
- ...........................................ongeza
ukienda kwenye konyagi ndio kabisaaaaaa...............of course iko wazi kwamba inasemekana konyagi nyingi hutengenezwa manzese na je Bia pia????