Mnazipendea nini hidden roof house?

Mafundi bado ni kizungumkuti kwenye style hii

Mafundi ni kipengele

Mafundi professional wapo
Yaani anajenga na nyumba wala haivuji.

Sema watu wengi wanapenda mambo ya kubana bajeti...anataka fundi huyohuyo afanye kila kitu,,matokeo yake ndo hayo.

Tafuta mafundi special wanaojua
Na kila fundi huwa ni mzuri kwenye eneo lake.
 
Hapo kwenye kubana bajeti napo kuna gharimu wengi, bora kujenga kawaida tu.
 
Uzi uishie hapa. Ubahili wa boss ndio lawama zake baadae. Mafundi wapo kibao ila unampa anachotaka ili nyumba isivuje hapo ndio mtiti unapoanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…