Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fundi mwenyewe mfupi na mnene kama GENTAMYCINE unadhani atajenga vizuri kweli.
Naomba link ya hao mafundi mkuu, maana kuna kakibanda ka wapangaji nagikiria nitumie hii design ili kuokoa gharama. Shida niliskia hizi habar za maji kuingia nikaanza kughairi
Hadi 6x6 mkuu nipo vizuri😅😅😅Kila kitu unajua sio visima, nyumba, utabiri wa hali ya hewa😂wewe mchina au
😲Ingekua watu wanaonekana mazoba kila mtu angekua nayo
Nyumba sio matako kila mtu anayo
😲Huna uwezo wa kujenga contemporary,utaishia kujenga pitched roof za maskini
Mengine ni kujifariji tuu.
Hizi zinafaa sana huko majangwani. Na ndiko zilikoanzia. Ushamba wa wabongo na kudanganywa na wachoraji eti ni contemporary!Ghairi mkuu utagharamika mara mia mvua ikinyesha
Hadi 6x6 mkuu nipo vizuri😅😅😅
tatizo wabongo wanaiga sana. wanasema kwenda na fashion wenyewe. tunapanda hearsay .."flani kwake kafanya hivi na hivi", hatufanyi tafiti, tukiona dualis kesho kila mtu anataka dualis ..tukiona sienta kila mtu kesho anataka sienta.
Natania, sekta hiyo sipo kabisa.Kwani wewe ni mtu wa Tanga hadi ujue 6×6
Mafundi bado ni kizungumkuti kwenye style hii
Mafundi ni kipengele
Kwan kupenda kitu lazima uwe na hela? Mbona unataka masikini tuwe na maisha magum sanaHujawahi zipenda au huna hela? 🤪🤪🤪🤪
Umeona hata mie nilishangaaKuna video nimeiona tiktok , [emoji23][emoji23][emoji23]ndani panavuja kama upo nje vile.
Niliona face book
kikubwa nyumba iwe na usalama wa kuishi kwa nyakati zote.Aisee hizi nyumba watu watalia mi naweka bati tu sitaki kusikia hizo nyumba ,jiran zangu nakojenga wamejenga hizi baadhi yao nyumba zinabomoka mpaka huruma nyumba zimelownaa haswa nazihurumia gypsum zao
Hapo kwenye kubana bajeti napo kuna gharimu wengi, bora kujenga kawaida tu.Mafundi professional wapo
Yaani anajenga na nyumba wala haivuji.
Sema watu wengi wanapenda mambo ya kubana bajeti...anataka fundi huyohuyo afanye kila kitu,,matokeo yake ndo hayo.
Tafuta mafundi special wanaojua
Na kila fundi huwa ni mzuri kwenye eneo lake.
Fundi maiko ndio wanaofit kwenye bajeti zetu za kujibana bana hao wachina tutawaweza na mahowo na mazuchu yao?Inabidi tukitaka kujenga tuwape wachina sasa na sio akina fundi maiko.
Uzi uishie hapa. Ubahili wa boss ndio lawama zake baadae. Mafundi wapo kibao ila unampa anachotaka ili nyumba isivuje hapo ndio mtiti unapoanzaSio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.
Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabomba ya inch 4 eti yavune maji yote kweli?
1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum
Unategemea isivuje?
ephen_
Watu bongo wanajenga kiujanja ujanja sana.Uzi uishie hapa. Ubahili wa boss ndio lawama zake baadae. Mafundi wapo kibao ila unampa anachotaka ili nyumba isivuje hapo ndio mtiti unapoanza