Mnazipendea nini hidden roof house?

Mnazipendea nini hidden roof house?

Mafundi bado ni kizungumkuti kwenye style hii

Mafundi ni kipengele

Mafundi professional wapo
Yaani anajenga na nyumba wala haivuji.

Sema watu wengi wanapenda mambo ya kubana bajeti...anataka fundi huyohuyo afanye kila kitu,,matokeo yake ndo hayo.

Tafuta mafundi special wanaojua
Na kila fundi huwa ni mzuri kwenye eneo lake.
 
Mafundi professional wapo
Yaani anajenga na nyumba wala haivuji.

Sema watu wengi wanapenda mambo ya kubana bajeti...anataka fundi huyohuyo afanye kila kitu,,matokeo yake ndo hayo.

Tafuta mafundi special wanaojua
Na kila fundi huwa ni mzuri kwenye eneo lake.
Hapo kwenye kubana bajeti napo kuna gharimu wengi, bora kujenga kawaida tu.
 
Sio kila fundi aweza kujenga contemporary, ubahili wenu ndio unawafikisha hapo.

Fundi hajui hata kuna kitu kinaitwa DUCT...mnaishia kuwekewa mabomba ya inch 4 eti yavune maji yote kweli?

1. Hakuna duct ya kushusha maji
2. Slop ndogo
3. Hakuna mfereji mkubwa wa kuvuna maji
4. Ukutani kwenye maungio hskuna bitumen maalum

Unategemea isivuje?
ephen_
Uzi uishie hapa. Ubahili wa boss ndio lawama zake baadae. Mafundi wapo kibao ila unampa anachotaka ili nyumba isivuje hapo ndio mtiti unapoanza
 
Back
Top Bottom