Mnazipendea nini hidden roof house?

Sio mbaya kumpa contractor akusimamie kazi Yako mwanzo mwisho,hii ya kubadilisha mafundi ndio Ile nayo Ina leta shida mwishoni ,ni vile tu hela zenyewe sometimes tunaungaunga
 
Ukidesign vizuri na ukaacha ubahili wakoπŸ˜… wakati wa ujenzi unapata kitu bora sana. Ila usimamizi mkubwa unahitajika, hasa kwa hawa mafundi wetu.
🀣🀣🀣Ubahili nao tatizo..
Sasa hapo nipate mtu wa kuaminika atayesimamia kitu sahihi,....Kikubwa mfuko uwe vizuri
 
Sio mbaya kumpa contractor akusimamie kazi Yako mwanzo mwisho,hii ya kubadilisha mafundi ndio Ile nayo Ina leta shida mwishoni ,ni vile tu hela zenyewe sometimes tunaungaunga
Contractor anafanya budget inakuwa kubwa ila anakupa kitu kizuri coz usimamizi unakuwa wa kuaminika. Unaweza ku-opt engineer/site foreman mwenye mishe zake akusaidie usimamizi kwa gharama za kizalendo. Anakuja asubuhi, anawaelekeza mafundi na kusepa zake, mchana anakuja kukagua kazi..like that. Ila full time contractor ujipange.
 
Sio mbaya kumpa contractor akusimamie kazi Yako mwanzo mwisho,hii ya kubadilisha mafundi ndio Ile nayo Ina leta shida mwishoni ,ni vile tu hela zenyewe sometimes tunaungaunga
Huwezi kutumia fundi mmoja nyumba nzima kuna mambo mengi mfano wa kuanzisha boma hawezi kupaua na kuna wengine wa kupaua hawezi kugonga bati

Hata ukimtumia contractor kukosoana kupo pale pale kiufupi nyumba hadi inaisha ikawa na kasoro ndogo mshukuru Mungu
 
Ni Kweli Huwezi mtumia fundi mmoja kwenye nyumba nzima,maana kila mmoja ana utaalam wake,lakini kumbuka kutumia contractor faida yake Ile ni team Moja,tofauti na Ile mchimba msingi katokea kibada,mpandisha boma katoka bahi, roofing kafanya sijui nani,,yaani nyumba ikishakuwa na mikono mingi kasoro hazikwepiki japo sijasema ukimpa contractor ndio itakuwa 100perc perfect.
 
Basi hata huyo foreman atafaa Kikubwa usimamizi tupate kitu bora
 
Sijaelewa paragraph ya mwisho, nyumba inajengwa huko inakuja kufungwaje huku? Au ni vyuma tu?
Pole sana mkuu acha inyeshe tuone panapovuja
Kwa uzoefu wangu mdogo nilioupata katika kusimamia ujenzi,
Huyu style inakula bati chache, tofauti na migongo ya tembo.

Ni style nzuri sana ukimpata fundi mzuri,,
Ila fundi wa kuunga unga ni hatari.
Mafundi bado ni kizungumkuti kwenye style hii
Ujenzi unahitaji 'ufahamu' wa mambo, sio ukanjanja. Mafundi wengi hawana ufahamu wa mambo mengi sana, kwenye ujenzi unahitaji kupata ufahamu kabla ya kufanya lolote.
Mafundi ni kipengele
 
Kibongo bongo fundi baadhi ya mafundi bila kukuibia kazi haiendi kabisa, na ukiwa ukauki site ndio watafanya hata kusudi upate loss πŸ˜‚
 
Sijaelewa paragraph ya mwisho, nyumba inajengwa huko inakuja kufungwaje huku? Au ni vyuma tu?

Pole sana mkuu acha inyeshe tuone panapovuja

Mafundi bado ni kizungumkuti kwenye style hii

Mafundi ni kipengele
Ni prefab au prefabricated houses
Wewe unapewa plan kutengeneza foundation tu na vingine vyote wanatengeneza wao na wanakuja kufunga mpaka umeme na mabomba
Unaweza kuangalia prefab house utapata idea
Ila wqna nyumba nzuri sana na wao wanakuja kukujengea au kupachika kila kitu mpaka madirisha na milango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…