Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #181
hakika mkuuHizo sio nyumba za maskini,kama una kipato Cha kuunga unga usiende huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika mkuuHizo sio nyumba za maskini,kama una kipato Cha kuunga unga usiende huko.
Hapa jirani kuna nyumba ziko kwenye gate moja za kupanga mwenye nazo anaishi marekani. Ni nyumba mbili nzuri moja ina hidden roof. Aisee anayeishi anadai kila mvua ikinyesha na kazi ya kudeki ndani maji yanaingia. Ashamwambia mwenye nayo na imefanyiwiwa marekebisho zaidi ya mara tatu lakini tatizo haliishi. Ni nyumba nzuri kweli yani ila ndio changamoto hiyo.Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu zinavuja mno lakini bado watu wanajenga sana nyumba kwa mtindo huo ambao sio rafiki hasa kipindi cha mvua.
Kuna mwenye nyumba hapa kila ikinyesha mvua lazima umuone fundi kapanda juu ya bati(navyotype tayari kuna fundi juu ya bati) na wapangaji wake wanalalamika sana maji kuingia ndani na kulowanisha vitu. Kila akiendelea kujenga style ni hiyo hiyo lawama nyingi akiziangushia kwa mafundi wake.
Mafundi upi ushauri wenu juu ya hili?
Upi ni mtindo mzuri wa kupaua nyumba kwa mazingira ya huku kwetu na aina ya mafundi tulionao mitaani?
View attachment 2805821
Kila la heri mkuu ndoto yako ikatimie.Ni ndoto tu ila nitanunua nyumba baada ya kustaafu huku huku nchi jirani na shamba labda na kumaliza mda wangu kama Mungu atanipa uhai
Alafu mbona kama hazirekebishiki jumla, wengi wanaorekebisha baada ya muda tatzo linajirudia.Hapa jirani kuna nyumba ziko kwenye gate moja za kupanga mwenye nazo anaishi marekani. Ni nyumba mbili nzuri moja ina hidden roof. Aisee anayeishi anadai kila mvua ikinyesha na kazi ya kudeki ndani maji yanaingia. Ashamwambia mwenye nayo na imefanyiwiwa marekebisho zaidi ya mara tatu lakini tatizo haliishi. Ni nyumba nzuri kweli yani ila ndio changamoto hiyo.
Nadhani kama ulivyosema, tatizo mafundi wetu kila fundi hujifanya anaufahamu wa kila kitu.
Mafundi nao washakua wajanja wajanja hakuna kitu watakubali hawawezi kwenye sekta ya ujenzi.Unaokota fundi unamuuliza unaweza anajibu anaweza kumbe anakuja kujifunzia kwenye nyumba yako
😅 mambo ya upigajiUsishangae ni influence ya mnene mmoja tu
Wapo ila wachache sana wanaoweza kufanya kazi kwa ubora unaohitajika.Mafundi mbona wapo tu
Mafundi tuliozoea mtaani bado sana.Mafundi wengi hawana utaalamu,bado ni vilaza
Nimejenga lakini siyo hayo madude. Ngoja nikutoe ushamba. Kuna roofing styles mbalimbali. Moja ni flat roof. Hizi zipo toka enzi za biblia, na watu waliweza kukwea na kupumzika huko. Sasa mtu akikudizainia nyumba ya flat roof na kuiita contemporary(Ya kisasa) ujue amekuona zoba sana.Yangekuwa mabanda hata wewe ungejenga,isingekuwa big agenja mjini.
Na hakuna mvua kulesizipendi hata kuziona,naonaga ni nyumba za kiarabu na jangwani. na ndio asili yake huko. huko jangwani kuna upepo, hawaweki roof wakiogopa upepo utaanua.
Mkuu,Huwezi kutumia fundi mmoja nyumba nzima kuna mambo mengi mfano wa kuanzisha boma hawezi kupaua na kuna wengine wa kupaua hawezi kugonga bati
Hata ukimtumia contractor kukosoana kupo pale pale kiufupi nyumba hadi inaisha ikawa na kasoro ndogo mshukuru Mungu
1. Nenda Nabaki Afrika wana materials special kwa ajili ya joints, wana gundi maalumu na hizo sheets pia.Nimepitia comment ya kila mtu, mimi ni mhanga wa hii kitu, bahati ni vile ameezeka hivi juzi na mvua hizi kubwa zikaanza. Dah aisee jumba linavuja ni hatari, alimimina zege kali sana lakini bado. Nilichiwaza kichwani mwangu:
1. Nitafute sheets special litakalokunjwa na kuchomelewa hadi pale mabomba ya kumwaga.
2. Nifunge gata hadi zilekeze maji kwenye mabomba ya kutolea maji nje
3. Mjenzi mwenyewe anasema ataongeza slop na kuweka tiles
Hii vita utaiweza mkuu? 🤣🤣🤣Fundi mwenyewe mfupi na mnene kama GENTAMYCINE unadhani atajenga vizuri kweli.
Inabidi tukitaka kujenga tuwape wachina sasa na sio akina fundi maiko.Nayo n sababu ila kuna nyingine zege ipo ila bado zinavuja
Huna uwezo wa kujenga contemporary,utaishia kujenga pitched roof za maskiniNimejenga lakini siyo hayo madude. Ngoja nikutoe ushamba. Kuna roofing style mbalimbali. Moja ni flat roof. Hizi zipo toka enzi za biblia, na watu waliweza kukwea na kupumzika huko. Sasa mtu akikudizainia nyumba ya flat roof na kuiita contemporary(Ya kisasa) ujue amekuona zoba sana.
Kila kitu unajua sio visima, nyumba, utabiri wa hali ya hewa😂wewe mchina auMkuu,
Fundi anaepaua ashindwe kugonga bati kweli?
Mafundi wengi wamekuwa multipurpose, multitasking wanafanya mambo mengi ila umakini ni muhimu. Atapandisha boma, atasema anaweza kupaua unampa kazi, atasema blundering umuachie, atasema umpe plastering, hadi kufunga board. Usipokuwa makini unaingizwa chaka.
Ahsante kwa ushauri1. Nenda Nabaki Afrika wana materials special kwa ajili ya joints, wana gundi maalumu na hizo sheets pia.
2. Option ya tiles achana nayo, it's not a solution.
Kaka Glenn naomba kiramani simpo cha vyumba vinne , dinning , jiko na kila chumba self containedLabda nikupe siri;
Contemporary haitakiwi ijengwe na fundi tena fundi Maiko.
Ikiwa unatumia fundi hskikisha una Consultant.
Kazi ya roofing huanza kuandalia kuanzia ujenzi wa msingi.
#Ninarudia# roofing ya contemporary huanza huandaliwa kuanzia ujenxi wa msingi.
××××kuna kitu tunaita Duct×××
Huu ni uwazi maalum unatumiwa kwa ajili ya kushushia maji kutoka kwa paa.
So inaanza kwenye msingi.
Kwa ghorofa duct ni uwazi unatumika kupitishia mabomba ya maji machafu, umeme nk.
Kwa contemporary ni maalum kwa kushusha maji.
Ujenzi wa contemporary ni rahisi sana na gharama nafuu.
Note: ukisha jenga boma bila mshauri/consultant eti ukatafuta fundi wa roofing, uandae na mbegu za samaki kabisa
Ingekua watu wanaonekana mazoba kila mtu angekua nayoNimejenga lakini siyo hayo madude. Ngoja nikutoe ushamba. Kuna roofing style mbalimbali. Moja ni flat roof. Hizi zipo toka enzi za biblia, na watu waliweza kukwea na kupumzika huko. Sasa mtu akikudizainia nyumba ya flat roof na kuiita contemporary(Ya kisasa) ujue amekuona zoba sana.
Mafundi wengi hawana ujuzi nao badoNimepitia comment ya kila mtu, mimi ni mhanga wa hii kitu, bahati ni vile ameezeka hivi juzi na mvua hizi kubwa zikaanza. Dah aisee jumba linavuja ni hatari, alimimina zege kali sana lakini bado. Nilichiwaza kichwani mwangu:
1. Nitafute sheets special litakalokunjwa na kuchomelewa hadi pale mabomba ya kumwaga.
2. Nifunge gata hadi zilekeze maji kwenye mabomba ya kutolea maji nje
3. Mjenzi mwenyewe anasema ataongeza slop na kuweka tiles