- Thread starter
- #41
Huyu amepitia mlango wa nyuma kwa kumpa makavu Dr. Bashiru.Ni mwendo wa kutapika nyongo.. Alianza Diallo ... Nyongo yake imewauguza sana haikuwa diluted kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu amepitia mlango wa nyuma kwa kumpa makavu Dr. Bashiru.Ni mwendo wa kutapika nyongo.. Alianza Diallo ... Nyongo yake imewauguza sana haikuwa diluted kama hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Legacy ya ufisadi wa mali za nchi!Haji jumaa ndio nani? Mwenyekiti wa ccm ndio rais alitaka halmashauri kuu iielekeze nini serikali wakati wameshapitisha manifesto kuagiza nini serikali ifanye. Kinachofuata ni serikali kutoa taarifa kuhusu inavyotekeleza manifesto ya uchaguzi.
Huyu naye ni wale wanaojaribu kuchafua legacy ya jpm na watu wake wa karibu.
Kazi gani hiyo, ya kuimba mapambio ya kusifia?Nilitakaga kukuunganisha kazi Ila baada ya ya kupitia thread zako na reply nikakimbia mbio zote
Usiwaaamini CCM ndugu yangu, CCM sio watu wa kuamini kabisa maana huyo huyo MNEC was part and parcel ya huo uozo ila ukimwambia anakua mkaliMNEC Haji Jumaa amesema katika kipindi chake cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, Halmashauri kuu ya CCM haijawahi kukaa kwa lengo la kuielekeza Serikali bali walikaa kupokea maelekezo ya Serikali. Ameongeza kusema Halmashauri Kuu ilikuwa rubber stamp tu ya maagizo ya Serikali.
Chanzo: Darmpya Blog
Wanajali sana matumbo yao na wako tayari kuua ili miradi kutimiza azma yao ya kujinufaisha!Usiwaaamini CCM ndugu yangu, CCM sio watu wa kuamini kabisa maana huyo huyo MNEC was part and parcel ya huo uozo ila ukimwambia anakua mkali
Yaani wakati wa joto nawaoneaga sana huruma. Bora hata wawe wanafuaNilikutana na mmoja maeneo ya kijiweni (Mwanza) kavaa nguo za UVCCM Kama mgambo wa jiji [emoji57]
Najaribu ku imagine matapishi ya mlango wa nyuma,[emoji2][emoji2][emoji2](kama nimeelewa lakini)Huyu amepitia mlango wa nyuma kwa kumpa makavu Dr. Bashiru.
Wanapunguza ya moyoni.. Wanapata ahueni kubwaKila mtu anazuka la lake...
Wengine wanaona aibu hata kuongeaAlianza Speaker wa Bunge Bwana Ndugai, akaja Dr Hamis Kigwangala, akaja Dr Diallo leo ni Haji Jumaa still the list goes on wote hao ni Wajumbe wa NEC, CC na Serikali kwa Jumla
Nasubiri siku asimame Ally Kessy pamoja na Deo Sanga Wazee wa atawale milele nione watakuwa na mtazamo gani kuhusu awamu ya tano.
Ila hakuna watu wanafiki kama viongozi wajuu wa chama, yaani over sudden wamebadilisha kauli zao na kuanza kuona udhaifu wa kile walichokisimamia awamu iliyopita.Wengine wanaona aibu hata kuongea