MNEC Haji Jumaa ambomoa Dkt. Bashiru Ally

MNEC Haji Jumaa ambomoa Dkt. Bashiru Ally

Haji jumaa ndio nani? Mwenyekiti wa ccm ndio rais alitaka halmashauri kuu iielekeze nini serikali wakati wameshapitisha manifesto kuagiza nini serikali ifanye. Kinachofuata ni serikali kutoa taarifa kuhusu inavyotekeleza manifesto ya uchaguzi.
Huyu naye ni wale wanaojaribu kuchafua legacy ya jpm na watu wake wa karibu.
Legacy ya ufisadi wa mali za nchi!
 
Nilitakaga kukuunganisha kazi Ila baada ya ya kupitia thread zako na reply nikakimbia mbio zote
 
Nilitakaga kukuunganisha kazi Ila baada ya ya kupitia thread zako na reply nikakimbia mbio zote
 
MNEC Haji Jumaa amesema katika kipindi chake cha Ukatibu Mkuu wa CCM, Dr. Bashiru, Halmashauri kuu ya CCM haijawahi kukaa kwa lengo la kuielekeza Serikali bali walikaa kupokea maelekezo ya Serikali. Ameongeza kusema Halmashauri Kuu ilikuwa rubber stamp tu ya maagizo ya Serikali.

Chanzo: Darmpya Blog
Usiwaaamini CCM ndugu yangu, CCM sio watu wa kuamini kabisa maana huyo huyo MNEC was part and parcel ya huo uozo ila ukimwambia anakua mkali
 
Usiwaaamini CCM ndugu yangu, CCM sio watu wa kuamini kabisa maana huyo huyo MNEC was part and parcel ya huo uozo ila ukimwambia anakua mkali
Wanajali sana matumbo yao na wako tayari kuua ili miradi kutimiza azma yao ya kujinufaisha!
 
Alianza Speaker wa Bunge Bwana Ndugai, akaja Dr Hamis Kigwangala, akaja Dr Diallo leo ni Haji Jumaa still the list goes on wote hao ni Wajumbe wa NEC, CC na Serikali kwa Jumla

Nasubiri siku asimame Ally Kessy pamoja na Deo Sanga Wazee wa atawale milele nione watakuwa na mtazamo gani kuhusu awamu ya tano.
Wengine wanaona aibu hata kuongea
 
Wengine wanaona aibu hata kuongea
Ila hakuna watu wanafiki kama viongozi wajuu wa chama, yaani over sudden wamebadilisha kauli zao na kuanza kuona udhaifu wa kile walichokisimamia awamu iliyopita.
 
Back
Top Bottom