Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwambie ukweli huyu chawa hajielewi ni majizi makubwa sana!Haya majangili ya mali za umma yanapiga pesa haswa yanakuja kusifia baada ya kuiba, huyu mwendawazimu ukimuuliza wameanzisha mradi gani mkubwa tangu 2021 zaidi ya chawa, rushwa na kununua magoli ya Yanga na Simba hana jibu.
This time yanaiba mchana kweupe hakuna shidaMwambie ukweli huyu chawa hajielewi ni majizi makubwa sana!