PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Rais Samia ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali

PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Rais Samia ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mjumbe wa Halmashauri kuu Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mbeya Ndele Mwaselela amesema Rais wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kuleta na kukuza vipaji vya viongozi vijana ndani ya Chama na Serikali.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza kuhusu nafasi ya vijana katika uongozi ,Mwaselela amesema kuwa woga ni chanzo cha kushindwa kwa vijana wengi akitoa mfano wa ushindi wake kwenye nafasi ya ujumbe wa Halmashauri kuu ya( CCM) Taifa kupitia Mkoa wa Mbeya ,licha ya ushindani mkubwa kutoka kwa wagombea wenzie wanne.

 
Back
Top Bottom