Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Nchi ngumu hii 🙌Hayo mawazo utayatolea wapi? Wenye akili wote wakionyesha akili zao watakimbizwa hatari..!! Hawa wabunge kukutana nao tu ni shida. Wanangoja karibu na uchaguzi watokee majimboni,na sanasana wataonekana ili wasake walemavu wa ngozi kama wanavyoagizwa na waganga wao.