Mngetumia nguvu za kuwapangia wanafunzi jinsi ya kutumia boom lao kuhakikisha wanaostahili wanapata mkopo 100% (au kusoma bure) tungewaona wa maana

Nchi ngumu hii πŸ™Œ
 
Katika uzi wote ulichoona wewe ni malalamiko tu? Acha kukurupuka, tuliza kichwa. Lakini pia, hata tunaokuja mtandaoni kupiga kelele, tunafanya sehemu, siyo kila mtu ni wa kwenda frontline, mapigano yapo kwa njia nyingi. USIKARIRI!
Bado hujajua maana ya majadiliano. Sio kila Topic ni ya kusapoti wala Sio kila Topic ni ya kupinga..

Huwezi ukaweka mada then uka expect Majibu unayotaka wewe as long as Kila mtu na uelewa wake.

NB: TAKE THAT.
 
Bado hujajua maana ya majadiliano. Sio kila Topic ni ya kusapoti wala Sio kila Topic ni ya kupinga..

Huwezi ukaweka mada then uka expect Majibu unayotaka wewe as long as Kila mtu na uelewa wake.

NB: TAKE THAT.
Sijalazimisha mawazo wala uelewa wako, wala hakuna nilipolazimisha utoe majibu ninayotaka, nikwambia usome uzi wote uelewe, badala ya wao kulaumu hachache wanaoenda kubeti, wajirekebishe kwanza mkopo wapate wanaostali na ikiwezekana iwe bure, sababu wao ndio wasimamizi na wanaoruhusu mikopo hii kuwa allocated kwa ambao hawastahili.

YOU TAKE THAT!
 
Cute Wife, πŸ™Œ 🀝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…