Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

Kasome tena history
ndio maana kila mwaka shule zenu zinashika mkia, kwasababu elimu hamna.

soma hapa. Under a treaty of 1890, Germany took control of Mafia and constructed the buildings still evident on Chole. Germany paid Sultan Sayyid Ali bin Said al-Said of Zanzibar M 4 million for both the island and part of the mainland coast. On January 12, 1915, Mafia was taken by British troops as a base for the air and sea assault on the light cruiser Königsberg.
 
Tatizo nyie vijan hamuelewi, nyerere aliona mbari sana for security reasons kwasababu hata leo hii zanzbar wakijitenga hawata survive coz watakua week kijeshi kitendo cha nyerere kuleta muungano ni kutaka ku access eneo kubwa la bahari ya hind
Miaka 60 nini kimetokea ktk hiyo bahari? Muungano wa Nchi 2 unazaa nchi mbili
 
Nadhani alichanganya kuelewa post, ishu ni kwamba wazanzibar kila sehem inabidi wawepo, kwa hio hata hizo nafasi za ubalozi wa Tanzania inabidi wapewe ili kuwe na muungano, kiufupi wazanzibar wana power kubwa sana kuzidi jamii / kabila lolote
Hapo nimemuelewa. Ukiwa mzenj na usitoboe awamu hii kweli una tatizo. Wako wachache na safari hii wanatawala bara na visiwani.
 
Hapo nimemuelewa. Ukiwa mzenj na usitoboe awamu hii kweli una tatizo. Wako wachache na safari hii wanatawala bara na visiwani.
wanavutiwa tu kasi na ninaamini hawatajichanganya wasije wakajuta watanganyika wakiamka usingizini.
 
Siku mkitaka kuvunja muungano watataka mgawane mali pasu kwa pasu,hela za benki, Silaha, Nk.
 
Siku mkitaka kuvunja muungano watataka mgawane mali pasu kwa pasu,hela za benki, Silaha, Nk.
mali gani ya kugawana, ipo wapi? TRA wao wanayo ya kwao na sisi tunayo ya kwetu, kuna mambo kadhaa tu ya kimuungano ndio waangalia kama kuna pesa huko and after all hata wao walishafaidika nayo kwasababu wanaishi hapa. waache ujinga.
 
BOT wana BOZ?
 
BOT wana BOZ?
kwani hela gani ya wote huwa inapelekwa BOT. taja hapa. na kama kunatakiwa kugawana kitu kwani kuna shida gani tukigawana? unamtisha nani kwamfano.

kwa resources zilizopo Tanzania, wazanzibar wanafaidika sana kuja kufanya kazi huku kupata kipato, nchi yao inategemea utalii 90%, dunia imeisha hii kushambuliwa na kirusi cha korona tu utalii ukishuka, wataanza kujiuza wenyewe. na bado hawaoni kama muungano una faida.
 
Tengua kauli ni viongozi wenye maslahi binafsi ndio waliong'ang'ania muungano sisi wananchi wa bara hatuutaki muungano mpka kesho

Tunachukua jeshi letu tunawatoa wote wa wa Zanzibar kama wapo kwenye system na tunaliondoa.kule Zanzibar

Tunachukua umeme wetu

Tunachukua ardhi yetu

Kwenye utumishi, uongozi tunawatoa wajitegemee.wao

Tuwaone sasa na hayo ni machache
Mavi ya kuku.
 
Watakuwa weak kijeshi na huku wanajeshi na Sasa wana uwezo wa kununua Silaha bila muungano
Gobachev alipandwa na marekani akaivunja USSR , mark this, hizi empowerments ipo siku zitazaa matunda, hata kama sio kuvunjika kabisa,
 
Mavi ya kuku.
.
IMG_20210319_115219.jpg
 
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya

Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.

Mambo ya huku bara lazima yawe na mchanganyiko wa mtanganyika na mzanzibari kuanzia ajira, uongozi, jeshini, mahakama, n.k kwenye uongozi kukiwa na msaidizi wa bara basi mkuu inabidi awe wa Zanzibar, kwenye ajira nako katika kila ajira 100 basi 21 za wazanzibar, jeshini huko wapo wengi pia sana sana polisi na jwtz, ila sasa huko kwao mambo yao ni ya wao hawataki mchanganyiko, hapa Tanganyika tunanufaika kivipi????

Ukija kwenye ardhi, wazanzibari kibao wanamiliki mashamba makubwa na viwanja huku bara lakini mtanganyika harusiwi kufanya hivyo, Je tunanufaika kivipi??

Ukija kwenye Power, hakuna kabila wala kundi linalowafikia wala kuwasogelea wazanzibar, yani si mchaga wala msukuma wala kabila lolote unaloweza kulifikiria, hawa wenzetu wapo wachache lakini wamesambazwa si mchezo kwenye vyeo vizito. kuna mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa wilaya, ma rpc, vyeo vikubwa jwtz, mabalozi wa nchi za nje, majaji wa mahakama, maprofesa vyuoni, waajiriwa kwenye mashirika yenye mishahara minono kama bandarini, Bot, Tanapa, Tra, Nssf, n.k hii ni kwasababu muungano unahitaji mchanganyiko wa pande mbili.

Mtanganyika hana nafasi kwenye serikali ya zanzibar kuanzia kwenye uongozi, ajira, mahakama, n.k Wana serikali yao kwajili yao kuanzia uraisi, makamu wa raisi, spika wa bunge, n.k hawa inabidi wawe wa zanzibar. pia wana taasisi zao kama Zff ambayo ni kama tff ya huku, Zrb ambayo ni kama Tra ya huku, Zssf ambayo ni kama Nssf ya huku, Jku ambayo ni kama jkt ya huku, yani taasisi zipo kibao kwakweli, hizo taasisi zinatoa ajira kwa wazanzibar tu, mtu wa Tanganyika huna sifa, lakini cha ajabu mzanzibar anaweza kupata ajira pande mbili za bara na huko kwao, vya bara ni vya wote ila vya zanzibar ni vya wao pekee, Patamu happ aisee 🤔🤔

Tukubali kwamba wazanzibar "WALITUZIDI AKILI" na wanafaidi mno muungano bila kujijua.

Kwa upeo wangu nimegundua Karume alimzidi akili Nyerere, Alipoona kwamba Nyerere anambembeleza sana kuwe na muungano, Karume akatumia nafasi hii kumbana Nyerere aipe Zanzibar upendeleo kama huu tunaouona ama sivyo hakuna muungano, Pia akaongezea kipengere kwamba endapo kukiwa na muungano basi Zanzibar iwe kwajili ya Zanzibar lakini Tanganyika ibanwe iwe kwajili ya wote, Kwa lugha nyepesi "changu ni changu ila chako tutagawana" matokeo yake leo Tanganyika tunashuhudia inapigwa nje ndani na wazanzibar, haya malalamiko kytoka Zanzibar kwamba wanyonywa yaliwekwa kimkakati ili iwe silaha kwa wazanzibar kuridhika na kujitapa kwamba wametuzidi akili, ingekuwa hivi muungano ungekufa mapema. lakini pia haya malalamiko yapo kimkakti kuizubaza Tanganyika idhani kwamba Zanzibar ni kama mkoa wake kumbe kiukweli wazanziba ndio wanaonufaika.
Zanzibar wanalipa kodi 2 ile ya ZRB kwa manufaa yao lakini ya TRA inawafaa watanganyika tu kwenye maisha yao ya kila siku hili nalo pia ilikuwa adhima ya tumuitaye baba mchongameno
 
Mbona Nyerere alikuwepo kwa miaka mingi sana baada ya Karume kuuwawa?

Hata issue ya Zanzibar kujiunga na OIC ni Nyerere ndiye alikemea Zanzibar ikalazimika kujitowa.

Kwa swala la muungano huu Nyerere anabeba lawama zote, alikuwepo na alikuwa na fursa ya kuweka mambo sawa kabla hajafa.

Malengo ya huu muungano ni kuimeza Zanzibar, sasa lengo limeshindikana na Wazanzibar ndio wananufaika Zaidi Watanganyika tumebaki tumepigwa na butwaa.

Ila adui wa yote haya ni ccm, kama Wazanzibar wangeachiwa waongozwe na Rais waliokuwa wakimpigia kura miaka yote Maalim Seif Sharrif Hamad hizi kero zisingekuwepo leo.
Naona uelewa wako wa nilichoandika ni mdogo. Unasoma kitu, hutulii kujua kinachoelezwa ni nini.

Nemeeleza, muungano ulipoanzishwa haukuwa umekamilika kwamba muundo huo ndio bora zaidi. Kwa vile ilikuwa ni mwanzo, mategemeo yalikuwa kwamba kadri miaka itakavyoendelea kazi ya kuuimarisha muungano itakuwa inaendelea ili kutoana hofu kwa wale waliokuwa na hofu na muungano huo. Hatma ya muungano ilikuwa ni kuwa na nchi moja ya Tanzania na watu wamoja wa nchi hiyo, ambao ni waTanzania na siyo wanaojitambulisha kama waTanzania na wengine wakijithamini zaidi kwa kujitambulisha kwa u-Zanzibar wao.

Kwani muungano ulikuwa ni wa Nyerere peke yake?

Huu muungano umevurugika, jinsi tunavyokwenda inakuwa kana kwamba kazi kubwa iliyopo ni ya kuwaridhisha watu wa upande mmoja wa muungano; na kadri inavyozidi kuwa hivyo ndiyo kadri inavyoendelea kuonekana kuwa muungano unadhoofika. Na kwa hali ilivyo sasa hivi sioni jinsi Samia anavyoweza kufanya kuimarisha muungano. Sana sana atatumia nafasi yake kupendelea zaidi upande wa huko anakotokea, huku akifaidi matunda aliyopewa na uwepo wa muungano.
 
Naombeni wenye jicho la ziada mnitoe ujinga maana huu ujinga nilionao ndio unanifanya niwe napatwa na hasira kwa maono mafupi yanayonifanga nione Zanzibar inatunyonya

Kwa upeo wangu mfupi najionea mambo haya, Naombeni mnipe maarifa, huenda mtazamo wangu haupo sawa.

Mambo ya huku bara lazima yawe na mchanganyiko wa mtanganyika na mzanzibari kuanzia ajira, uongozi, jeshini, mahakama, n.k kwenye uongozi kukiwa na msaidizi wa bara basi mkuu inabidi awe wa Zanzibar, kwenye ajira nako katika kila ajira 100 basi 21 za wazanzibar, jeshini huko wapo wengi pia sana sana polisi na jwtz, ila sasa huko kwao mambo yao ni ya wao hawataki mchanganyiko, hapa Tanganyika tunanufaika kivipi????

Ukija kwenye ardhi, wazanzibari kibao wanamiliki mashamba makubwa na viwanja huku bara lakini mtanganyika harusiwi kufanya hivyo, Je tunanufaika kivipi??

Ukija kwenye Power, hakuna kabila wala kundi linalowafikia wala kuwasogelea wazanzibar, yani si mchaga wala msukuma wala kabila lolote unaloweza kulifikiria, hawa wenzetu wapo wachache lakini wamesambazwa si mchezo kwenye vyeo vizito. kuna mawaziri, wakuu wamikoa, wakuu wa wilaya, ma rpc, vyeo vikubwa jwtz, mabalozi wa nchi za nje, majaji wa mahakama, maprofesa vyuoni, waajiriwa kwenye mashirika yenye mishahara minono kama bandarini, Bot, Tanapa, Tra, Nssf, n.k hii ni kwasababu muungano unahitaji mchanganyiko wa pande mbili.

Mtanganyika hana nafasi kwenye serikali ya zanzibar kuanzia kwenye uongozi, ajira, mahakama, n.k Wana serikali yao kwajili yao kuanzia uraisi, makamu wa raisi, spika wa bunge, n.k hawa inabidi wawe wa zanzibar. pia wana taasisi zao kama Zff ambayo ni kama tff ya huku, Zrb ambayo ni kama Tra ya huku, Zssf ambayo ni kama Nssf ya huku, Jku ambayo ni kama jkt ya huku, yani taasisi zipo kibao kwakweli, hizo taasisi zinatoa ajira kwa wazanzibar tu, mtu wa Tanganyika huna sifa, lakini cha ajabu mzanzibar anaweza kupata ajira pande mbili za bara na huko kwao, vya bara ni vya wote ila vya zanzibar ni vya wao pekee, Patamu happ aisee 🤔🤔

Tukubali kwamba wazanzibar "WALITUZIDI AKILI" na wanafaidi mno muungano bila kujijua.

Kwa upeo wangu nimegundua Karume alimzidi akili Nyerere, Alipoona kwamba Nyerere anambembeleza sana kuwe na muungano, Karume akatumia nafasi hii kumbana Nyerere aipe Zanzibar upendeleo kama huu tunaouona ama sivyo hakuna muungano, Pia akaongezea kipengere kwamba endapo kukiwa na muungano basi Zanzibar iwe kwajili ya Zanzibar lakini Tanganyika ibanwe iwe kwajili ya wote, Kwa lugha nyepesi "changu ni changu ila chako tutagawana" matokeo yake leo Tanganyika tunashuhudia inapigwa nje ndani na wazanzibar, haya malalamiko kytoka Zanzibar kwamba wanyonywa yaliwekwa kimkakati ili iwe silaha kwa wazanzibar kuridhika na kujitapa kwamba wametuzidi akili, ingekuwa hivi muungano ungekufa mapema. lakini pia haya malalamiko yapo kimkakti kuizubaza Tanganyika idhani kwamba Zanzibar ni kama mkoa wake kumbe kiukweli wazanziba ndio wanaonufaika.
Hata mimi leo hii sioni faida ya huo Muungano wa kinyonyaji, kipindi fulani Mtanganyika akitaka kwenda Zanzibar ilibidi awe na Passport na apewe visa. Lol
 
Tatizo nyie vijan hamuelewi, Nyerere aliona mbali sana for security reasons kwasababu hata leo hii zanzbar wakijitenga hawata survive coz watakua week kijeshi kitendo cha nyerere kuleta muungano ni kutaka ku access eneo kubwa la bahari

Hii haswa ndio sababu sioni kingine.
 
Dodo [emoji3056] limewaangukia wazanzibari, kwa kweli kutesa kwa zamu, hakuna kipya maana tushazoea kila raisi aingiae madarakani hupeleka mboga kwao, shauri yenu wazenji msipo endelea muhula huu, nauhakika bila shaka mtaisoma namba chafu, kama mnabisha waulizeni Chatto [emoji23], Genova ya Africa imeishia wapi, Mungu amewapenda kwa kweli

Ndio maana kuna haja ya kubadili katiba, wanaharakati wanavyopambana kuhusu hili swala mnawaona wapiga kelele na kuwatukana, hakuna kipya maana ukipanda mabua lazima uvune mabua usitegemee kuvuna zabibu, hii katiba ya mataga inabidi ibadirishwe bila hivyo zitabaki kelele za kila mtu kuvutia ngoma kwake
 
Machogo mnaona mnapigwa ndani ya huo mnaouita muungano? Wasikilizeni viongozi wenu kwa nini wanaung'ang'ania bado.

Bila Zanzibar hakuna nchi itakayobaki bara maana Tanganyika Nyerere alishaitupa chooni akai flashi mwaka 1964. Jiulize kwa nini? Sasa Zanzibar ikitoka kwenye huo mnaouita muungano sijui machogo mtakuwa wageni wa nani. Tanganyika haipo tena. Mtabikia na makabila yenu na Nyerere hayupo na hakuna aliyebaki mwenye uwezo wa kuyaunganisha tena hayo makabila. Ndiyo maana CCM wanaulinda kwa nguvu zote huo mnaouita muungano.
 
Unaelewa miundo ya miungano ya NATO na EU?
Watu wenye akili na wakiendelea kiuchumi na kijeshi wanaunganga wewe unataka matengano na makasiriko?
Umeshasikia kitu kinaitwa NATO?
Umeshasikia kitu kinaitwa EU
Je hii € unajua Ina nguvu kiasi gani?
 
Suruhisho ni katiba Mpya
Hata ije katiba gani,Muungano hautavunjwa,bora mzime umeme.
Utafiti mdogo.
Wafanyabiashara wa Zanzibar asilimia kubwa wanautaka muungano.
Wapenda vyeo vya kisiasa hawauhitaji Muungano huwa wanahisi wanaamuriwa na MtanganyikaCCM.
Kiukweli Muungano tuuboreshe na tuchukuliane kwa usalama wetu.
 
Back
Top Bottom