Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

Mnielimishe: Ni kitu gani haswa Nyerere alikitaka kwenye Muungano, maana nachoona tunapigwa wazi wazi

Nadhani Tukitengana tutapoteza sehemu kubwa ya eneo la bahari na zanzibar itapaa kiuchumi kupitia marafiki zao waarabu.

In short kujitenga kuna manufaa makubwa sana kwa Zanzibar kukiko Tanganyika.
Mkuu inavyoonekana zanzibar ipo ndani ya eneo la bahari la Tanganyika, hivyo kujaribu kuitenga ni sawa na kutenga maziwa na tui la nazi.
 
Ukiwa mzanzibar ukiwa na degree tayar ushapata kazi kwanza sio wasomi wazanzibari
 
Nyerere alikuwa na lengo moja tu kuvutia wawekezaji na wafanyabiashara wa Zanzibar waje kuwekeza Tanzania bara uwekezaji mkubwa serikali ipate Kodi kwani wazawa kipindi kile wakiwemo wachaga matongitongo ya kufanya biashara kubwa yakikuwa yamejaa hayajaamka .Wachaga walikuwa migombani tu kulima kahawa wamelala fofo kibiashara.Akaona heri alete wazanzibari waje huku kwa wingi bara apate Kodi ya kuendesha serikali na alifanikiwa Hadi leo wafanyabiashara wakubwa Wenye biashara kubwa na viwanda vikubwa bara Ni wazanzibari kuanzia akina Bakhresa nk wameshika sekta kubwa ziwe usafiri,mafuta,viwanda nk

Wachaga Ni wachuuzi yaani machinga waliochangamka kuliko machinga wa makabila mengine

Kwa kulipa Kodi TRA wazanzibari walioko bara wanaoongoza kuliko waswahili wote watanganyika

Nyerere aliangalia zaidi TRA kuukubali huu muungano mnaouona umekaa mguu kushoto ukiwa kulia na wa kulia ukiwa kushoto.

Ukiwaangalia kiingiacho TRA Hadi leo Huwezi mtu kubali muungano uvunjike kirahisi hivi ukiuvunja halafu Bakhresa arudi kwao Zanzibar Mswahili yupi mtanganyika aweza kuwa na mtaji na uwezo wa kuendesha business chain kubwa za Bakhresa kuhakikisha TRA inapata chake bila athari? Wata take over Nani Hawa malofa akina Lisu wapiga Domo ambao hata kufuga kuku tu wa biashara watano hawawezi kazi kubweka tu kuwa muungano mbaya? Mkono mtupu haulambwi

Nyerere alikubali muungano wa aina ilyopo akijua mkono aulambao una kitu.Mfano tukisema tulambe mkono wa Chadema wasiotaka muungano una Nini? Mbowe ana Nini,Lisu ana Nini,Msigwa ana Nini? Chadema wengi choka mbaya wamepigika kimaisha wanaishi kwa kuchonga midomo tu
TRA ya nyerere sio🤣🤣🤣
 
Unavifahamu visiwa vya Seychelles na Mauritius?
Tatizo nyie vijan hamuelewi, nyerere aliona mbari sana for security reasons kwasababu hata leo hii zanzbar wakijitenga hawata survive coz watakua week kijeshi kitendo cha nyerere kuleta muungano ni kutaka ku access eneo kubwa la bahari ya hind
 
hivo visiwa havina risk impact kubwa kuliko zenj.................. comoro , Madagascar havina muingiliano sana na waarabu........ kuliko zenji........
najua unajua uhusiano wa nchi za kiarabu na ugaidi
Unajidanganya nafsi yako, Islamic state wapo hapo tu Mozambique puwa na mdomo.

Sijui huwa mnatumia viungo gani kufikiri?
 
Unavifahamu visiwa vya Seychelles na Mauritius?
Anajambajamba tu, magaidi wa Islamic state wapo hapo Gabo Delgado Mozambique, puwa ma mdomo na Tanzania.

Hawa ndio kile kizazi kimeishi kwa propaganda uchwara maisha yao yote utadhani Mungu aliwanyima ubongo.
 
Nadhani Tukitengana tutapoteza sehemu kubwa ya eneo la bahari na zanzibar itapaa kiuchumi kupitia marafiki zao waarabu.

In short kujitenga kuna manufaa makubwa sana kwa Zanzibar kukiko Tanganyika.

Mkuu inavyoonekana zanzibar ipo ndani ya eneo la bahari la Tanganyika, hivyo kujaribu kuitenga ni sawa na kutenga maziwa na tui la nazi.
Nani huwa anawadanganya ujinga huu? Jifunzeni kwa Malawi walipoleta chokochoko za ziwa Nyasa, ni sawa na huu upuuzi mnaousema nyinyi kuhusu Zanzibar.

Mipaka ya bahari ni kati kwa kati, na kuna international water kama hamna uelewa wa mipaka ya bahari.
 
Rejea history ya TipTip.
Himaya ya oman east africa,
Helgrod treat(spelling?)
Tip Tippu alikuwa mfanyabiashara wa tembe za ndovu , pia alikuwa guide akiongoza misafara ya Wagunduzi kama Henry Morton Stanley.

Watu aliowatumia kwenye misafara yake alikuwa akiwalipa. Inashangaza kuwa amekuwa alama ya biashara katili ya utumwa.

Himaya ya Oman ilikuwa baada ya Sultan wa Oman kujitanua na kuhamishia makazi Zanzibar, kabla ya hapo walikuwepo Wareno na wenyeji ambao hasa walikuwa wametoka Uajemi kwa ajili ya biashara. Wabantu wengi walihamia Zanzibar kutoka bara wakati wa biashara ya Utumwa, hakuna ushahidi wa moja kwa moja unaowapa Uenyeji wa visiwa hivyo.
 
Nani huwa anawadanganya ujinga huu? Jifunzeni kwa Malawi walipoleta chokochoko za ziwa Nyasa, ni sawa na huu upuuzi mnaousema nyinyi kuhusu Zanzibar.

Mipaka ya bahari ni kati kwa kati, na kuna international water kama hamna uelewa wa mipaka ya bahari.
Katikati ya bahari zanzibar na bara ni wapi? Ni kutokea bara kwenda zanzibar au zanzibar kuelekea maeneo mengine?
 
Nadhani Tukitengana tutapoteza sehemu kubwa ya eneo la bahari na zanzibar itapaa kiuchumi kupitia marafiki zao waarabu.

In short kujitenga kuna manufaa makubwa sana kwa Zanzibar kukiko Tanganyika.
unapotezaje sehemu ya eneo la bahari wewe? yaani toka mtwara hadi Tanga, wenyewe kaeneo kao mbona kadogo tu, au unafikiri kwasababu ni kisiwa basi bahari yote wanamiliki, wanamiliki sehemu ndogo sana ya bahari hao urojo. utaanza kuhesabu nautical miles ngapi toka mafia hadi uwafikie, upande wa chini hawatashuka kwasababu hawana kisiwa chochote chini ya unguja, tanga kidogo itagawana kwasababu ya pemba. enda kwenye ramani angalia ramani yao, kuna,chukia kisiwa chao kimataifa kuna nautical miles kadhaa tu ndizo watamiliki. kwengine kote bara tutasambaa sana, tuna eneo kubwa la bahari kuliko na hawatuathiri chochote. ila kiukweli hawana faida kwetu zaidi ya undugu tu ambao wao hawaapreciate.
 
KUHUSU kuzidiwa akili Mpaka Leo hawajui kama walituzidi akili!Wanapambana wavunje muungano sidhani kama ukivunjwa kutakuwa na faida upande wowote
watakula hasara kwasababu watakuja huku kuuuza chipsi wakiwa na visa. pia itabidi watu waamue uraia wanaoutaka ni upi, waliojenga huku watalazimika kuuza kwasababu hawatakuwa raia na hawatakuwa na haki kisheria kumiliki ardhi labda kama ni wawekezaji kama wanavyotufanyia sisi. ningekuwa rais ningefanya kitu cha ajabu sana mimi, kesho tu.
 
Nadhani Tukitengana tutapoteza sehemu kubwa ya eneo la bahari na zanzibar itapaa kiuchumi kupitia marafiki zao waarabu.

In short kujitenga kuna manufaa makubwa sana kwa Zanzibar kukiko Tanganyika.
Sheria ya kimataifa iko wazi. Soma hapa Territorial waters - Wikipedia
Maanake: kila nchi ina ukanda wa km 22.4 (maili 12) mbele ya pwani lake, ni mali yake kabisa. Kama nchi ziko karibu, kama Tanganyika na Zanzibar, mpaka unafuata mstari wa katikati. Hala kuna maili 12 tena, zinazoitwa "contigouus zone", ambako kila nchi ina haki ya kutumia polisi yake. Jumla km 45 hivi.
Halafu iko "eneo la kiuchumi" ambako kila nchi ina haki ya kutumia peke yake, ni km 370 (maili 200). Hapa ungepaswa kutumia mstari wa kati, maana eneo hili litaenea pia upande wa kusini ya Unguja, na pia mbele ya pwani ya Tanganyika.
310px-Zonmar-en.svg.png
 
Maelezo mazuri lakini yana ukakasi ndani yake uliopelekea hoja yako yote kuwa na ukakasi.

Taja mwingine ukiachilia said nani mwingine kutoka Zanzibar kiasi cha kusema Wabara wote hawana kitu katika biashara.

Kwamba huyo said ndie egememeo la serikali kwenye upande wa kodi kiasi cha kwamba asipokuwepo na serikali haita kuwepo!

Kwanini wachanga pekee ndio imewaona ni machinga, kwani mchanga ndie afanya huo uliouita umachinga pekee?

Wakina lisu mbowe na chadema wanahusika kwa namna yoyote na hii hoja?

Sio kwamba una chuki za kisiasa ndio ukaelemea kwa wachaga na chadema na vingozi wake?
hata huyo said ataenda kwao, h apa atakuja kwa visa. kama zanzibar kuna faida mbona kawekeza zaidi huko kuliko huko? halafu sio tajiri namba moja na tunajua alivyopata utajiri. ni hela za wabara zile.
 
unapotezaje sehemu ya eneo la bahari wewe? yaani toka mtwara hadi Tanga, wenyewe kaeneo kao mbona kadogo tu, au unafikiri kwasababu ni kisiwa basi bahari yote wanamiliki, wanamiliki sehemu ndogo sana ya bahari hao urojo. utaanza kuhesabu nautical miles ngapi toka mafia hadi uwafikie, upande wa chini hawatashuka kwasababu hawana kisiwa chochote chini ya unguja, tanga kidogo itagawana kwasababu ya pemba. enda kwenye ramani angalia ramani yao, kuna,chukia kisiwa chao kimataifa kuna nautical miles kadhaa tu ndizo watamiliki. kwengine kote bara tutasambaa sana, tuna eneo kubwa la bahari kuliko na hawatuathiri chochote. ila kiukweli hawana faida kwetu zaidi ya undugu tu ambao wao hawaapreciate.
Okey.
 
Maelezo mazuri lakini yana ukakasi ndani yake uliopelekea hoja yako yote kuwa na ukakasi.

Taja mwingine ukiachilia said nani mwingine kutoka Zanzibar kiasi cha kusema Wabara wote hawana kitu katika biashara.

Kwamba huyo said ndie egememeo la serikali kwenye upande wa kodi kiasi cha kwamba asipokuwepo na serikali haita kuwepo!

Kwanini wachanga pekee ndio imewaona ni machinga, kwani mchanga ndie afanya huo uliouita umachinga pekee?

Wakina lisu mbowe na chadema wanahusika kwa namna yoyote na hii hoja?

Sio kwamba una chuki za kisiasa ndio ukaelemea kwa wachaga na chadema na vingozi wake?
binafsi wazenji wengi ninaowajua huku bara wanamiliki viduka vya kawaida, wanapika chips usiku na wanajua kwelikweli, bahresa pekee ndo mfanyabiashara mkubwa, wengine ni wauza baga tu mfano hapa arusha, na wanazidiwa na wachagga.
 
bado una umuhimu.......coz zanzibar itakua weak kijeshi ........hivyo kuwa ni njia rahisi kwa magaidi.............then kuhatarisha usalama wa bara
zenji ikiwa weak kijeshi wewe unapata hasara gani hasa kama wao ndio watavunja muungano? sawa na umeachana na x wako tena kaondoka kwa mbwembwe, ukasikia maisha yamemuwia magumu, kinachokuuma ni nini?
 
Wasiotaka muungano Ni malofa Maskini wasiochangia chochote kikubwa TRA au Zanzibar Revenue Authority . Kaangalie quality ya wapinga muungano walioko Zanzibar Ni Maskini wa kutupwa na bara hivyo hivyo .Hata ungevunja leo hawana Cha kuwekeza Zanzibar Cha kufanya Zanzibar ipae kimapato na hawana Cha kuwekeza bara Cha kufanya Tanzania ipae kimapato

Tuweke ushabiki pembeni .Wapiga yowe wengi masikini .Huwezi mwambia mfanyabiashara mkubwa aliyeko Zanzibar muungano uvunjike wakati soko lake kubwa liko bara na Huwezi mwambia mfanyabiashara mkubwa wa bara avunje muungano wakati soko lake kubwa la nafaka liko Zanzibar na mazao huyapata bara

Wapiga yowe ukiacha malofa Ni wanasiasa ambao maisha yao hutegemea porojo kushinda ubunge na Baraza la wawakilishi nk

Ila ukifanya assessment sio people material Ni waganga njaaa.Anapiga yowe ohh bara turuhusiwe kununua ardhi Zanzibar !!! Tanzania bara kwenyewe hata shamba Hana ana kakiwanja hatua chache tu.Kashindwa kununua hata kashamba tu!!! Mchonga mdomo hata asiyeweza!!!

Mwenye macho haambiwi Tazama angalia profile za wapinga muungano na CV zao wawe CCM au upinzani Ni malofa lofa tu hata Kama Wana vyeo walifikia hapo walipo kwa kuchonga midomo tu sio kwa kuchangia kikubwa TRA au ZRB(Zanzibar Revenue Board)
binafsi muungano naupenda kwasababu tumeishi miaka mingi pamoja na huwa nawahesabu wazenji ni watanzania wenzangu kama walivyo watu wa mkoa wowote hapa bara. isipokuwa ukija ukiritimba kama huu n a malalamiko dhidi yetu, na kwamba sisi ndio tunang'ang'ania muungano, huwa inanikera hadi naona hata ukivunjia basi. kwani nini?
 
Back
Top Bottom