Mninga

Jamestanzania

Member
Joined
Oct 21, 2022
Posts
21
Reaction score
11
Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
 
Nenda wakala wa misitu TFS lipia gharama za kila mlango au bidhaa yyote ya mbao ni rafiki sana na fuata masharti yao ya kusimama kwa kila geti kwa ukaguz.
Mambo ni rahisi sana
 
Nenda wakala wa misitu TFS lipia gharama za kila mlango au bidhaa yyote ya mbao ni rafiki sana na fuata masharti yao ya kusimama kwa kila geti kwa ukaguz.
Mambo ni rahisi sana

Je unaweza nipa idea, kila mlango na dirisha linaweza gharimu kiasi gani mkuu? Umenitisha.
 
Mkuu naomba nikujibu kama ifuatavyo.
Nenda ofisi za TFS ukiwa na viambatanishi vifuatavyo.

1.copy ya usajili wa ofisi uliyo tengenezea hiyo milango/frem.

2.Risiti za manunuzi ya hizo mbao.

3. Copy ya Tp(Transit Pass) ambayo ilitumika kusafirishia hizo mbao kutoka mahali zilipo vunwa mpaka Kwa huyo mnunuzi.
 
Ukifika masjala utajaza form,kisha utapewa control number ili kufanya malipo
 
Utapewa control number mbili,moja Kwa ajili ya malipo ya hiyo milango na nyingine Kwa ajili ya TP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…