Kati ya wote naona hakuna hata aliyekuombea, inaonekana Tanzania tuna upungufu wa maombi. Haya mimi nakuombea: Mungu mtangulie
radika popote aendako, malaika wako walinde gari lake nyuma na mbele, na upaga uliowatangulia waisirael baada ya kutoka utumwani uongozane nae, maana wewe ni Mungu Ibrahim, isaka na yakobo (Israel), basi ndiwe Mungu wa
radika pia. Nimeomba kwa jina la Yesu kristo masiha, Amina.