Mniombee kuna gari inanifuata.

Mniombee kuna gari inanifuata.

leo wanaitwa wasiojulikana kesho wataitwa wasioonekana.lets wait with our ears wide open !!!!
 
Kati ya wote naona hakuna hata aliyekuombea, inaonekana Tanzania tuna upungufu wa maombi. Haya mimi nakuombea: Mungu mtangulie radika popote aendako, malaika wako walinde gari lake nyuma na mbele, na upaga uliowatangulia waisirael baada ya kutoka utumwani uongozane nae, maana wewe ni Mungu Ibrahim, isaka na yakobo (Israel), basi ndiwe Mungu wa radika pia. Nimeomba kwa jina la Yesu kristo masiha, Amina.

Nakushukuru sana mkuu ubalikiwe.
 
Back
Top Bottom