Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya wote naona hakuna hata aliyekuombea, inaonekana Tanzania tuna upungufu wa maombi. Haya mimi nakuombea: Mungu mtangulie radika popote aendako, malaika wako walinde gari lake nyuma na mbele, na upaga uliowatangulia waisirael baada ya kutoka utumwani uongozane nae, maana wewe ni Mungu Ibrahim, isaka na yakobo (Israel), basi ndiwe Mungu wa radika pia. Nimeomba kwa jina la Yesu kristo masiha, Amina.