Mniombee Wadau... Joto limepanda limefika 44° C natokwa jasho lakini natetemeka kwa Baridi.

Usifanye mchezo na malaria kijana ama homa kal hyo,ushushe hyo homa kwa panadol kwanza halaf mengne yafate,44c,ni kubwa
 
Ikumbukwe unapenda kuleta nyuzi nyingi za kujisifia kwa mademu. Lkn yote kwa yote pole sana mkuu.

#nakwenda_zimbabwe
 
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
Albadili
 
50° C itapendeza zaidi
 
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
GuDume labda matokeo ya mambo yako yale ya KiguDume yameanza kujitokeza?[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Fanya hivi.. Chukua maji ambayo hayajachemshwa kajimwagie.. Alafu pia kama unamtu wa karibu mwombe aku sponji.. Yani awe anakukanda na maji mwili mzima hasa maeneo ya kifuani tumboni na kichwani...

Ikiwezekana chukua kitambaa chenye maji kwenye kichwa Ila ikitokea kimepata joto kiloweke tena ukirudishe.. Fanya hivyo kwa mwili mzima LA sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.. Hapo ulipo hata ukimeza dawa

Kufanyakazi ni nshu coz enzyme zinaaribiwa na joto.. So Fanya kwa hivyo
 
Kuna yule jamaa alikuja kulalamika kuwa kuna member anamvizia dem wake na ukisoma maelezo yanakulenga wewe, so mkuu R.I.P in advance!
 
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
kweli jf noma kama umeshindwa kutumia muda huu kutubia madhambi yako umeweza kuingia jf.
 
Back
Top Bottom