Mniombee Wadau... Joto limepanda limefika 44° C natokwa jasho lakini natetemeka kwa Baridi.

Mniombee Wadau... Joto limepanda limefika 44° C natokwa jasho lakini natetemeka kwa Baridi.

mkuu nashukuru sana ushauri wako ulifanya kazi vizuri. nmeamka najisikia vizuri kiasi flan. ni malaria nina miaka kama 15 sijaumwa malaria.... sasa ni muda hali ilikuwa inanijia hivi nadharau jana hal ilichange zaidi.

Hiyo ni alert mkuu. Andika wosia kabisa bahati haiji mara mbili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole sana kwa Malaria haikubaliki. Ugua haraka upone ukatafute rizki mkuu
 
Du , joto zaidi ya 43°c bado umeweza kushika simu na kupost JF!mi Nilidhani utakuwa umeshakufa.
 
Chizi maarifa keshafanya yake jamani,,,ole wako Gudume afe sijui utakua unatuchekesha wewe
 
Pamoja na kuumwa kote bado utasikia amegegeda nesi.
 
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
Angalia kwenye mkundu kama hujaota kitu chochote ata mithli ya kijipu chungu kisichoiva au whatever. Chunguza hilo.
 
Back
Top Bottom