Mniombee Wadau... Joto limepanda limefika 44° C natokwa jasho lakini natetemeka kwa Baridi.

R.I.P Gudume Gwambegu nitamiss sana harakatu zako..
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
 
Israel kashakugongea alarm aisee... Yan umebakiwa na extra time tu hapo[emoji85]
 
Mkuu itakuwa ni zile ngono za weekend zinapandisha temperature!![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
4b4c4d7c8cc70c40ff4cc3bbfcb1d9f8.jpg

Huyu ndo nesi wa zamu?
 
mkuu nashukuru sana ushauri wako ulifanya kazi vizuri. nmeamka najisikia vizuri kiasi flan. ni malaria nina miaka kama 15 sijaumwa malaria.... sasa ni muda hali ilikuwa inanijia hivi nadharau jana hal ilichange zaidi.

Fanya hivi.. Chukua maji ambayo hayajachemshwa kajimwagie.. Alafu pia kama unamtu wa karibu mwombe aku sponji.. Yani awe anakukanda na maji mwili mzima hasa maeneo ya kifuani tumboni na kichwani...

Ikiwezekana chukua kitambaa chenye maji kwenye kichwa Ila ikitokea kimepata joto kiloweke tena ukirudishe.. Fanya hivyo kwa mwili mzima LA sivyo hali itakuwa mbaya zaidi.. Hapo ulipo hata ukimeza dawa

Kufanyakazi ni nshu coz enzyme zinaaribiwa na joto.. So Fanya kwa hivyo
 
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
Yule jamaa aliesema unatembea na mchumba wake kashafanya mambo nini?!!
 
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.
Ukifa itapendeza zaidi!
 
mkuu nashukuru sana ushauri wako ulifanya kazi vizuri. nmeamka najisikia vizuri kiasi flan. ni malaria nina miaka kama 15 sijaumwa malaria.... sasa ni muda hali ilikuwa inanijia hivi nadharau jana hal ilichange zaidi.
Hongera sana mkuu.. Na Mimi niliwahi umwa hivyo kunakipindi ndo maana sikusita kukwambia cha kufanya.. Nilikuwa naona kama ndo naondoka yani..

Nadhani ni sisi ambao hatuumwi malaria mala kwa mara siku tukiumwa ndo hutokea hivyo.
 
Back
Top Bottom