mkuu nashukuru sana ushauri wako ulifanya kazi vizuri. nmeamka najisikia vizuri kiasi flan. ni malaria nina miaka kama 15 sijaumwa malaria.... sasa ni muda hali ilikuwa inanijia hivi nadharau jana hal ilichange zaidi.
Hiyo ni alert mkuu. Andika wosia kabisa bahati haiji mara mbili [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Pole sana kwa Malaria haikubaliki. Ugua haraka upone ukatafute rizki mkuu
Nmelazwa hosp hal imebadilika gfla tka jioni. Joto nurse kpma akashtuka akatoka mbio kwenda mwta doc naye amekja anakimbia sana limefka 44° C ila natetemeka ile mbaya. Imebadilika ghafla tu ile jioni.