Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,434
- 1,363
Wakuuu habari ya wakati,,,,Naamini Mungu anaendelea kutupigania kwenye kila mapito yetu.
Wakuu napenda mnipe ushauri,nataka niichukue Computer kwaajili ya krecodi Audio,,je,ni computer gani inafaa au ya bei gani ndo inapiga kazi vizuri? Maana sina uzoefu kabisa na maswala ya ununuzi wa Computer (Desktop) kuna wengine wananishauri nichukue ya 350000/= ,me mwenyewe nilipanga niweke bajeti ya 350000/=™je hii ipoje kwa wazoefu,nisije kuchukua pengine ikanipa changamoto
Msaada tafadhali!
🙏🙏🙏