Ahsantee mkuu,,kumbe inatakiwa nijipange vizuri ili nifanye kitu kizuri,,Kiukweli, kompyuta ya laki tatu na nusu kwa ajili ya studio ni ndogo sana mkuu. Desktop ya bei hiyo mara nyingi itakuwa ni refurbished au ya zamani sana kama Core i3 au i5.
Itakusumbua sana utakapoanza kuweka heavy plugins na kurekodi sauti nyingi. Kama unaweza, weka bajeti yako kuanzia laki 6 hadi milioni 1 ili upate kitu cha uhakika kitakachodumu.
Computer ya Studio Audio /Video (1). inatakiwa iwe na Harddisk 2(Audio Editing) harddisk 3 ya Video editing- kwenye Video editing kama hdd ni moja kwenye PC sauti na picha vinapishanaga.mdomo unaongea sauti inafuata... Memory inatakiwa kuwa ya kutosha walau 16-32GB Au zaidi. Harddisk 256GB-1TB. Pia kuna special Inputs Cards kama unataka professional Audio/Video Editing Computer... Kuna miaka nilikuwa na assemble hizi aina ya PCsWakuuu habari ya wakati,,,,Naamini Mungu anaendelea kutupigania kwenye kila mapito yetu.
Wakuu napenda mnipe ushauri,nataka niichukue Computer kwaajili ya krecodi Audio,,je,ni computer gani inafaa au ya bei gani ndo inapiga kazi vizuri? Maana sina uzoefu kabisa na maswala ya ununuzi wa Computer (Desktop) kuna wengine wananishauri nichukue ya 350000/= ,me mwenyewe nilipanga niweke bajeti ya 350000/=β’je hii ipoje kwa wazoefu,nisije kuchukua pengine ikanipa changamoto
Msaada tafadhali!
πππ
mwezio anataka audio wewe video editing ya nini punguza kuchanganya madesaComputer ya Studio Audio /Video (1). inatakiwa iwe na Harddisk 2(Audio Editing) harddisk 3 ya Video editing- kwenye Video editing kama hdd ni moja kwenye PC sauti na picha vinapishanaga.mdomo unaongea sauti inafuata... Memory inatakiwa kuwa ya kutosha walau 16-32GB Au zaidi. Harddisk 256GB-1TB. Pia kuna special Inputs Cards kama unataka professional Audio/Video Editing Computer... Kuna miaka nilikuwa na assemble hizi aina ya PCs
Punguza Shobo Binti! kwa Dunia ya Leo both two vinaenda pamoja. And was helping him kujua both at once asije sumbuka uliza tena. Kama anataka zalisha Bongo fleva Au Singeli na nyinginezo kuzalisha pia video zake akuepukiki. inaonekana una Stress kibao peleke mastress yako kwa mumeomwezio anataka audio wewe video editing ya nini punguza kuchanganya madesa
Used yes inaweza kufaa kama utaiupgrade so hapo weka kama laki sita to one Million. Software zake unazo? Kama Steinberg Cubase Pro na wenzake?? Kama utahitaji professional Audio Editing Software Au za Video kama Cut pro, Adobe inbox me.Wakuuu habari ya wakati,,,,Naamini Mungu anaendelea kutupigania kwenye kila mapito yetu.
Wakuu napenda mnipe ushauri,nataka niichukue Computer kwaajili ya krecodi Audio,,je,ni computer gani inafaa au ya bei gani ndo inapiga kazi vizuri? Maana sina uzoefu kabisa na maswala ya ununuzi wa Computer (Desktop) kuna wengine wananishauri nichukue ya 350000/= ,me mwenyewe nilipanga niweke bajeti ya 350000/=β’je hii ipoje kwa wazoefu,nisije kuchukua pengine ikanipa changamoto
Msaada tafadhali!
πππ
unajioma una akili punga wewePunguza Shobo Binti! kwa Dunia ya Leo both two vinaenda pamoja. And was helping him kujua both at once asije sumbuka uliza tena. Kama anataka zalisha Bongo fleva Au Singeli na nyinginezo kuzalisha pia video zake akuepukiki. inaonekana una Stress kibao peleke mastress yako kwa mumeo
Asubuhi wakuu hata chai badounajioma una akili punga wewe