Mr Suprize
JF-Expert Member
- Dec 18, 2014
- 869
- 961
Nina mwaka tangu niajiriwe Serikalini lakini ukweli sioni future yoyote kwenye hii kazi niliyoajiriwa, naona kabisa naenda kuzika ndoto zangu na kubaki kuishi Kwa kutegemea mshahara.
Kabla sijaajiriwa nilikuwa na biashara zangu ambazo nilikuwa naingiza net profit Million 1.5 Yani hiyo ni minimum profit Kwa mwezi, biashara ambazo nimerun almost miaka 6 sasa.
Mwaka Jana Nikapata Ujira wa basic salary 500k
Sababu za kuacha hii kazi
1. Mazingira magumu ya kufanya kazi, nashinda masaa 10 bila kuwepo hewani. Yaani no mtandao Hilo eneo nalofanyia kazi, kitu ambacho kinanipa ugumu kufanya mawasiliano na wale niliowaachia wasimamie biashara akiwemo mke wangu.
2. Gharama kubwa za kulinda kibarua changu, kwa siku natumia kiasi cha shilling 4k kuweka mafuta kwenye pikipiki Kwenda kazini, Kwa sababu eneo nalofanyia kazi hakuna nyumba naweza kupanga na kingine siwezi kuishi sehemu haina mtandao wa uhakika, mtandao kuupata Hadi uende eneo maalumu uwasiliane na ndugu zako.
3. Nipate muda wa kusimamia biashara zangu ambazo tangu nimeajiriwa naona kabisa zinashuka katika mauzo kutokana na kukosa usimamizi.
Nimejaribu kuomba uhamisho ili nisogee karibu na eneo langu la biashara lakini siwezi kuupata uhamisho Hadi nitimize miaka 4 kazini kitu ambacho nachoka.