Nina mwaka tangu niajiriwe serikalini lakini ukweli sioni future yoyote kwenye hii kazi niliyoajiriwa , naona kabisa naenda kuzika ndoto zangu na kubaki kuishi Kwa kutegemea mshahara .
Kabla sijaajiriwa nilikuwa na biashara zangu ambazo nilikuwa naingiza net profit Million 1.5 Yani hiyo ni minimum profit Kwa mwezi , biashara ambazo nimerun almost miaka 6 sasa
Mwaka Jana Nikapata Ujira wa basic salary 500k
Sababu za kuacha hii kazi
1. Mazingira magumu ya kufanya kazi nashinda masaa 10 bila kuwepo hewani Yani no mtandao Hilo eneo nalofanyia kazi , kitu ambacho kinanipa ugumu kufanya mawasiliano na wale niliowaachia wasimamie biashara akiwemo mke wangu.
2. Gharama kubwa za kulinda kibarua changu , Kwa siku natumia kiasi cha shilling 4k kuweka mafuta kwenye pkpk Kwenda kazini , Kwa sababu eneo nalofanyia kazi hakuna nyumba naweza kupanga na kingine siwez kuishi sehemu Haina mtandao wa uhakika, mtandao kuupata Hadi uende eneo maalumu uwasiliane na ndugu zako
3. Nipate muda wa kusimamia biashara zangu ambazo tangu nimeajiriwa naona kabisa zinashuka katika mauzo kutokana na kukosa usimamizi
Nimejaribu kuomba uhamisho ili nisogee karibu na eneo langu la biashara lakini siwez kuupata uhamisho Hadi nitimize miaka 4 kazini kitu ambacho nachoka
Wewe sio real businessman ni muoga unafata watu watasema nin kuhusu wewe hisia zinafelisha wengi dunianNina mwaka tangu niajiriwe serikalini lakini ukweli sioni future yoyote kwenye hii kazi niliyoajiriwa , naona kabisa naenda kuzika ndoto zangu na kubaki kuishi Kwa kutegemea mshahara .