Mnishauri, nahitaji kuacha ajira Serikalini ili nisimamie biashara zangu

Wewe sio real businessman ni muoga unafata watu watasema nin kuhusu wewe hisia zinafelisha wengi dunian
 
Kupanga ni kuchagua in late magufuli's voice.
 
Afisa kilimo sijui afisa mifugo kama uliweza kufanya biashara kwa miaka sita na ikawa sustainable why ukibimbilie ajira yakufokeana na mkurugenzi na mkuu wa wilaya ambao ata ukiangalia vzr mmelingana elimu ila kila siku nikuwapiga nyie mikwala?
 
Piga chini ajira.....
Endelea na biashara huku ukiwa kimkakati na kisomi. 1.5M net profit inatosha wewe kuanza kuinvest part of it kwaajili ya passive income in the future.
Cheap option ni UTT. In no time hiyo hela ya manyanyaso 500K utaanza ipata bila kuifanyia kazi.
 
Laki 5 na uko mbali na familia yako,dogo acha kazi pambanaaaaa kwa mishe zako kwa jasho na damu,jitoe haswa utaona mafaniko usichague shughuli ya kufanya kuwa muamimifu
 
umechelewa acha fasta, tena nasema fasta kasimamie biashara zako, vinginevyo toa upuuzi hapa
 
Kabla hujaacha make shure biashara yako iko stable.
Or una different source than hiyo biashara
 
umekuja kuomba ushauri huku wakuacha kazi! Umeshafeli, wew fanya unachoona kinafaa uamuzi wa kuacha kaz hauhijati ushauri wa watu wengi, miluzi mingi hupoteza mmbwa
 
Kabla hujaacha make shure biashara yako iko stable.
Or una different source than hiyo biashara
Ishu ya biashara kuwa stable ni jinsi unavyoisimamia mwenyewe , biashara haiwez kuwa stable kama wewe mwenyewe muda mwing unakuwa out na biashara yako , hata hivyo Nahitaji nianze biashara zingine mpya kama mbili ambazo naogopa kuzianzisha kama nitaendelea na kazi bas zitakufa , zinanihitaji niwe mwenyewe nione mambo yanavyoenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…