Tumpara Dudu
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 625
- 506
Ndugu zangu,nimehangaika kitambo sana kuwa member wa JF lkn nashukuru wiki hii nimefanikiwa. Mm bado ni mgeni na sijajuwa vizuri kulitumia jukwaa hili hivyo nikipost kitu kisichohusika humu mnielimishe kwa njia nzuri bila ya matusi wala kashfa. Sijajua hata PM inamaana gan na naipata vip ila nabahatisha tu. Kuna ukumbi unaitwa Great thinker naupenda sana lkn siruhusiki kupost wala ku comment chochote sijui kwann?
Natumai mtanipa ushirikiano wenu,Asanteni na mbarikiwe nyote.
Natumai mtanipa ushirikiano wenu,Asanteni na mbarikiwe nyote.