Mnivumilie bado mgeni humu JF

Mnivumilie bado mgeni humu JF

Tumpara Dudu

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
625
Reaction score
506
Ndugu zangu,nimehangaika kitambo sana kuwa member wa JF lkn nashukuru wiki hii nimefanikiwa. Mm bado ni mgeni na sijajuwa vizuri kulitumia jukwaa hili hivyo nikipost kitu kisichohusika humu mnielimishe kwa njia nzuri bila ya matusi wala kashfa. Sijajua hata PM inamaana gan na naipata vip ila nabahatisha tu. Kuna ukumbi unaitwa Great thinker naupenda sana lkn siruhusiki kupost wala ku comment chochote sijui kwann?

Natumai mtanipa ushirikiano wenu,Asanteni na mbarikiwe nyote.
 
Sawa karibu mgeni kwake sebuleni ukikaa sana utayajua mazingira so usiwe na shaka
 
Karibu sana mkuu. Hili jukwaa unapaswa kuleta habari za mastaa na vituko vyao tuu...
PM ni private massage.......
 
Alafu unakaribia mwaka humu unajiitaje mgeni?

Ile ID yako inayojulikana ni ipi?
Inawezekana ikawa kweli lkn sikuwah kupost wala kuchangia chochote kwakuwa sikuwa naruhusika,ndo nimefanikiwa wiki hii kupost na kuchangia mada. Nilishakata tamaa kutumia hili jukwaa kwakuwa nilikuwa siiwez lkn wiki hii nimejaribu tena angalau nimetoa ushamba
 
Tupe tasfiri ya neno Tumpara dudu
Anza kwanza kutoa Tafsir ya Amadoli,ukimaliza hyo Tupe ya Pombe Magufuli af Malizia ya Mizengo Pinda kisha na mm nitaleta ya Tumpara Dudu.

[HASHTAG]#SAMAHANI[/HASHTAG] KWA USUMBUFU UTAKAOUPATA NDUGU#
 
Anza kwanza kutoa Tafsir ya Amadoli,ukimaliza hyo Tupe ya Pombe Magufuli af Malizia ya Mizengo Pinda kisha na mm nitaleta ya Tumpara Dudu.

[HASHTAG]#SAMAHANI[/HASHTAG] KWA USUMBUFU UTAKAOUPATA NDUGU#
Umesema we ni mgeni alaf bado waleta kiburi alaaaah
 
Umesema we ni mgeni alaf bado waleta kiburi alaaaah
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sio kiburi ndugu yangu nilikuwa nataka uvute picha kuwa hayo majina yana maana yoyote au ni maneno tu yasiyo na maana ambayo huchaguliwa tu kuwa kama utambulisho wa mtu au kitu.

NDOMAANA NAUPENDA UKUMBI WA GREAT THINKER
 
Back
Top Bottom