jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
Kwakweli tuhuma za unoko ni mtambuka mahali pengi katika mazingira tuishiyo.
Tuhuma kama ooh yule mnoko wa boss ama vinginevyo ni sehemu ya kauli tuziishizo hasa katika maeneo yetu ya kazi.
Ajabu ukiwa na msimamo fulani wa kutokukubaliana na wengine tuhuma ya unoko itakuhusu!
Wenzako wakifanya baya na ukalikemea tuhuma unoko itakuhusu!
Ukiwa msema kweli tuhuma unoko itakuhusu!
Sasa kwasababu jukwaa hili ni pana na lenye watu wengi na wenye uelewa mpana wa mambo mengi mimi JITOMBASHISHO naomba nijuzwe ni nani hasa mwenye kustahiki kuitwa mnoko?!
Nawasilisha.