SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Embu tuweke utani pembeni.
Duniani kote kuanzia vilabu hadi timu za taifa, kuanzia katika soka, basketball hadi American Football na michezo mingine ni kawaida timu kubwa kujilinganisha na mnyama fulani anayebeba mfanano wa falsafa na haiba ya ile timu.
Kuna timu zimeweka mnyama wao katika jina la timu, wengine katika logo, wengine wanajihusisha na mnyama huyo katika jina la utani la timu.
Embu tuwasaidie Yanga Afrika katika kuwaleta kwenye usasa kwa kupata mnyama sahihi wa kwendana nao. Kama mnyama unayedhani anawafaa hayupo katika list ya kwenye poll, mtaje kwenye comment.
1. Chura
2. Bata
3. Nyoka
4. Kenge
5. Paka
6. Sungura
7. Fisi
8. Mbwa Mwitu
9. Nyani
10. Mwingine......