Mnyama twiga namuona kama mtukufu sana hastahili hata kuwindwa na simba

Mnyama twiga namuona kama mtukufu sana hastahili hata kuwindwa na simba

Google Diggers

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
944
Reaction score
1,138
Ndugu zangu nampenda Ssana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga.

Sababu kubwa ni upole wake na upekee twiga is a beautiful animal Simba please don't hunt twiga.

Fikiria fisi akimsumbua twiga hell no hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili.

Serikali iachane na wanaofanya kazi takatifu, wapambane na viongozi wao ndio wenye matatizo
 
Labda simba wawe wa 5 ndio wataweza angusha twiga maana sio mbio na mateke aisee twiga anakimbia unaambiwa anakwenda mpaka 240 km kwa saa sio mchezo.halafu anapiga mateke miguu yote minne nyuma mbele yaani simba wakianza mbinde na twiga sio mchezo.
 
Mkuu usihuzunike simba kumuuwa twiga hiyo ni nature, na nature huwa haibadiliki maana imeumbwa na kuachwa hivyo ilivyo. Mungu hakushindwa kumpa huyo Twiga makucha au meno marefu ya kumuuma simba. Alimuumba hivyo na kumfanya awe mnyama wa kuishi porini na wanyama hatari kama simba na chui kwa sababu zake maalum. Sometimes ukipingana na nature unakuwa kama vile unapingana na uumbaji wa Mungu.
 
Ndg Zang nampenda Sana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga.

Sababu kubwa ni upole wake na upekee🍉 twiga is an beautiful animal Simba please don't hunt twiga.

Emergine fisi akimsumbua twiga hell no Hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili.
👇
SERIKALI IACHANE NA WANAOFANYA KAZI TAKATIFU, WAPAMBANE NA VIONGOZI WAO NDIO WENYE MATATIZO.
Mbona hizi ni kama mada mbili tofauti mkuu?
 
Ndg Zang nampenda Sana twiga. Napata shida sana anapowindwa na simba. Simba angejua angewinda wote akamuacha twiga.

Sababu kubwa ni upole wake na upekee🍉 twiga is an beautiful animal Simba please don't hunt twiga.

Emergine fisi akimsumbua twiga hell no Hawa akina 🦊 wawawinde wanaostahili.

Serikali iachane na wanaofanyakazi takatifu, wapambane na viongizi wao ndio wenye matatizo
Simba kumuwinda twiga ni option na siyo choice.

Mziki wa kumuangusha twiga si wa kitoto, kundi zima la Simba wanaweza wakatokwa na Twiga na kuachiwa maumivu na majeraha tu.

Ile kwato ya Twiga ni kama viatu vya wanawake vya mchuchumio, ukitandikwq skuna moja tu mziki wake unausikilizia hayo maumivu.
 
Back
Top Bottom