ACT imesaliti damu za Watanzania, harakati za mabadiliko,
Maneno anayosema Mnyika kwa maandishi
"Kwa hiyo Katiba inaonekana ni sahihi, kuleta watu wa nje kushughulikia mgogoro. Lakini muungano, Tanzania, inaonekana ni, ni shida. Sasa tunataka kusema kwamba ah tutayazungumza haya, na na tutatoa tutatoa mwelekeo. Lakini ninachokiona ni kwamba ACT imeamua kwa mara nyingine tena, pamoja na mauaji ya tarehe 29 ya watu na siku zilizofuatia, kusaliti damu za watu na kusaliti harakati za mabadiliko.
Kuna kuzungumzwa kule, moja ya mambo watakayozungumza watapoingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa na tume itakayoundwa ni kwamba watakubaliana kuhusu marekebisho ya Katiba ya Zanzibar. Kwa hiyo matatizo yetu ya kikatiba, ya Katiba ya Zanzibar, ya Katiba ya Muungano, huwezi kushughulika na mapungufu ya Katiba ya Zanzibar bila kushughulika kwanza na mapungufu ya Katiba ya Muungano, ikiwemo kuhusu muundo wa muungano."