Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amethibitisha kuwa fedha zote zinazochangwa na wananchi pamoja na wanachama, ikiwemo mifumo ya kielektroniki na zile za "tonetone" zinazokusanywa mikutanoni, ziko salama kabla na baada ya matumizi.

Mnyika aliongeza kuwa, kwa mujibu wa taratibu za kifedha za kitaasisi, yeye kama Katibu Mkuu ndiye Afisa Masuhuli wa chama ambaye anasimamia uidhinishaji huo. Ili fedha ziweze kutoka kwenye akaunti za benki za makao makuu ya CHADEMA, kuna kategoria mbili za watia saini ambazo ni lazima zihusike kutoa idhini hiyo. Kategoria ya kwanza inajumuisha nafasi ya Mwenyekiti wa Chama na Katibu Mkuu, huku kategoria ya pili ikiwa na Mkurugenzi wa Fedha pamoja na maafisa wengine walioidhinishwa.

Tuhuma za matumizi ya pesa kwa viongozi ni uongo, pesa ziko salama

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Mnyika amesema kuwa fedha za tonetone zinazokuswanywa mikutanoni zinawekwa banki, na kisha ili pesa itoke ni lazima ziwekewe saini na watu 2, hivyo pesa za makao makuu zinatoka zikiwa pesa ikiwa imesainiwa na katibu Mkuu.

Tuhuma za matumizi ya pesa kwa viongozi ni uongo, pesa ziko salama
 
Kazi ya CCM na Tlaatla, chuki zao kwa demokrasia
 
Sasa hili chawa jike Tlaatlaah sijui litasema nini tena
 
Mnyika kashindwa kabisa kumtetea heche amabaki kufanya press conference kama mkutano wa hadhara tu 🀣
 
Pesa alizofisidi heche alielekeza ziwekwe kwenye akaunti yake binafsi na hakuziwasilisha kwenye chama.

Na aliehoji pesa hizo ziko wapi, ni yule alie muunganisha heche na hao wafaddhili ambao hatimae waliwasilisha pesa kwa heche.

Sasa aliehoji,
alitaka kujua tu, ikiwa pesa alizoziona zikitolewa na hao wafaddhili waliomkabidhi heche, zimewasilishwa kwenye chama?

Na katibu mkuu wala mkurugenzi wa fedha wa chadema hawana taarifa na wala hawajui chochote kuhusu hilo.

Na hapa ndipo changamoto ilipoanzia gentleman na inaendelea mpaka sasa na myika kaikwepa coz haijui na wenye kuijua ni hao wanaohojiana πŸ’
 
Heche piga hawa nguruwe bado wanatoa mapua yao
 
Heche peleka moto kwa haya mandondocha mpaka akili irudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…