Ya Chadema waachie Chadema, una matatizo mengi sana ya kuyatatua ule upande wenu yaani CCM. ICC, October 29, na mengine mengi-----that's just hot air gentleman, right ?🐒
Yaani Katibu Mkuu wa Cdm asijue kuhusu pesa za Chama chake ile wewe chawa wa Lumumba ndo unazijua??Na katibu mkuu wala mkurugenzi wa fedha wa chadema hawana taarifa na wala hawajui chochote kuhusu hilo.
vip kuhusu ufisadi wa heche,Ya Chadema waachie Chadema, una matatizo mengi sana ya kuyatatua ule upande wenu yaani CCM. ICC, October 29, na mengine mengi-----
AnkaliT na genge lake la wachumia tumbo wamaumbuka.Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amethibitisha kuwa fedha zote zinazochangwa na wananchi pamoja na wanachama, ikiwemo mifumo ya kielektroniki na zile za "tonetone" zinazokusanywa mikutanoni, ziko salama kabla na baada ya matumizi.
Mnyika aliongeza kuwa, kwa mujibu wa taratibu za kifedha za kitaasisi, yeye kama Katibu Mkuu ndiye Afisa Masuhuli wa chama ambaye anasimamia uidhinishaji huo. Ili fedha ziweze kutoka kwenye akaunti za benki za makao makuu ya CHADEMA, kuna kategoria mbili za watia saini ambazo ni lazima zihusike kutoa idhini hiyo. Kategoria ya kwanza inajumuisha nafasi ya Mwenyekiti wa Chama na Katibu Mkuu, huku kategoria ya pili ikiwa na Mkurugenzi wa Fedha pamoja na maafisa wengine walioidhinishwa.
Tuhuma za matumizi ya pesa kwa viongozi ni uongo, pesa ziko salama
sasa hajapokea chochote kinachhusiana na pesa kutoka kwa jonieheche, atajua nini au ataeleza nini kwamfano gentleman?Yaani Katibu Mkuu wa Cdm asijue kuhusu pesa za Chama chake ile wewe chawa wa Lumumba ndo unazijua??
Mbona huwa huhoji kuhusu wizi na ufisadi wa kutisha wa ccm?
Kwa kiwango chako cha umbeya wa kijinga🚮 inafaa uvishwe kijora sasa
Mnyika kashindwa kabisa kumtetea heche amabaki kufanya press conference kama mkutano wa hadhara tu 🤣
Nonsense.Mnyika kashindwa kabisa kumtetea heche amabaki kufanya press conference kama mkutano wa hadhara tu 🤣
Wewe ndo umepokea?sasa hajapokea chochote kinachhusiana na pesa kutoka kwa jonieheche, atajua nini au ataeleza nini kwamfano gentleman?
kwanini heche hakuiwasilisha chamani mamilioni ya pesa alizopewa na wafaddhili ambao ni marafiki wa moja ya viongozi wakuu wa chama hicho?🐒Mkuu hebu kuwa mnyooka angalau mara moja na uache kujificha nyuma ya keyboard. Jibu maswali haya kwa faida ya jukwaa:
Funguka mkuu, acha kukwepa na porojo. Jukwaa linataka kujua uwezo wako wa akili na elimu yako, au kama wewe ni mashine tu iliyokaririshwa kusifu kila kitu!
- Uchawa na njaa ya kisiasa: Hivi nini kinakufanya uwe chawa sugu wa serikali na CCM kiasi hiki? Kazi yako ni kusifu na kuabudu kila kitu, hata penye madudu ya wazi unajitoa ufahamu. Je, unatafuta uteuzi kwa nguvu, unaishi kwa kupokea bahasha za posho za propaganda, au ni njaa tu inakusumbua?
- Ufinyu wa uwezo wa kufikiri: Kwanini kila ukijaribu kujibu hoja za upinzani (kama za akina Heche na Mnyika) unakimbilia kuleta mipasho na vihoja badala ya kujenga hoja zenye akili? Je, uwezo wako wa kuchambua mambo umegota mwisho, au ubongo wako hauwezi kabisa kwenda mbele zaidi ya propaganda za kijinga?
- Kiwango chako cha elimu: Hivi wewe ulisoma kweli au una vyeti vya kufoji? Mtindo wako wa uandishi na uwasilishaji wa mambo unaonyesha wazi una upungufu mkubwa wa elimu na weledi. Hebu weka wazi hapa jukwaani: una kiwango gani cha elimu, au hiyo shule ulienda kusomea ujinga?
Dawa ya mwehu kama Mwaipopo ni kumkimbia na kumuacha na makopo yake atajua atakapoyatupa.in fact chadema wote ni makamanda, but kwa makamanda wa mwaipopo waliufya mkia 🤣
yaani mwaipopo tu, kamtu kamoja kamewafanya makamanda wote wa chadema kuufyata mkia,Dawa ya mwehu kama Mwaipopo ni kumkimbia na kumuacha na makopo yake atajua atakapoyatupa.
Hatujakuona ukianzisha uzi kuhoji ujenzi wa hili daraja, unahoji buku yangu niliyoitoa kwenye tone tone.kwanini heche hakuiwasilisha chamani mamilioni ya pesa alizopewa na wafaddhili ambao ni marafiki wa moja ya viongozi wakuu wa chama hicho?🐒
Nenda ukaflshiweFedha za tone tone ikikusanywa milioni kumi, milioni mbili tu ndo zinaenda bank zingine zote zinaliwa na chawa na mahawala wa heche
wewe naye ni hawala wa Heche ?Fedha za tone tone ikikusanywa milioni kumi, milioni mbili tu ndo zinaenda bank zingine zote zinaliwa na chawa na mahawala wa heche
hiyo ni artwork,Hatujakuona ukianzisha uzi kuhoji ujenzi wa hili daraja, unahoji buku yangu niliyoitoa kwenye tone tone.
View attachment 3626314
Haha! Yaani chawa bwana, ukiandamwa na hoja za akili unakimbilia kuweweseka na kuleta habari za akina Heche. Mkuu, naona umekimbia maswali yangu yote matatu na kukimbilia mbinu ya kitoto ya 'whataboutism' ili tu ukwepe hoja. Maswali yangu yalikuwa rahisi sana: una njaa ya kisiasa kiasi gani hadi uwe chawa sugu? Una elimu gani na kwanini uwezo wako wa kujenga hoja umegota mwisho kiasi cha kukimbilia mipasho? Hilo swali lako la kufikirika kuhusu Heche haliwezi kufuta ukweli kwamba umeshindwa kabisa kujitetea hapa jukwaani. Hapa hatutaki porojo na vihoja vyako; jibu maswali uliyoulizwa au ukubali tu wazi kwamba ubongo wako hauna uwezo wa kwenda mbele zaidi ya propagandakwanini heche hakuiwasilisha chamani mamilioni ya pesa alizopewa na wafaddhili ambao ni marafiki wa moja ya viongozi wakuu wa chama hicho?🐒