Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone

hiyo ni artwork,
na hicho ni just temporary kivuko gentleman, wakati faraja halisi likijengwa maeneo hayo hayo 🐒
Mkuu Tlaatlaah, hapo ndipo unapozidi kujivua nguo jukwaani na kuonyesha jinsi unavyojitoa ufahamu kulinda madudu. Unaita daraja mbovu lililopo 'artwork' na 'temporary kivuko' huku wananchi wakiteseka, halafu unatumia kisingizio hicho kukwepa swali la msingi uliloulizwa. Hilo daraja halisi unalosema linajengwa liko wapi na limechukua muda gani? Hii tabia yako ya kugeuza kila changamoto ya wananchi kuwa mradi wa kusifu na kuabudu ndiyo inayothibitisha njaa yako ya kisiasa na ufinyu wa kujenga hoja. Acha kukwepa maswali, jibu hoja ulizoulizwa mwanzo kuhusu elimu yako na njaa inayokusumbua!
 
Haha! Yaani chawa bwana, ukiandamwa na hoja za akili unakimbilia kuweweseka na kuleta habari za akina Heche. Mkuu, naona umekimbia maswali yangu yote matatu na kukimbilia mbinu ya kitoto ya 'whataboutism' ili tu ukwepe hoja. Maswali yangu yalikuwa rahisi sana: una njaa ya kisiasa kiasi gani hadi uwe chawa sugu? Una elimu gani na kwanini uwezo wako wa kujenga hoja umegota mwisho kiasi cha kukimbilia mipasho? Hilo swali lako la kufikirika kuhusu Heche haliwezi kufuta ukweli kwamba umeshindwa kabisa kujitetea hapa jukwaani. Hapa hatutaki porojo na vihoja vyako; jibu maswali uliyoulizwa au ukubali tu wazi kwamba ubongo wako hauna uwezo wa kwenda mbele zaidi ya propaganda
mimi,
hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman bila kupoteza muda au wakati kwenye porojo 🐒
 
Narudia, katika watu WAPUMBAVU SAAAANA nchini hapa basi ni hii minyumbu ya lissu humu JF. Kwakweli ni mizwazwa haswa, wallah
Kwanza kabisa, ID yako inajiita 'Dr' lakini lugha unayotumia imejaa matusi, kashfa, na upungufu mkubwa wa adabu. Hiyo yenyewe ni thibitisho tosha kwamba elimu haijakukomboa fikra, bali unatumia jina la taaluma kubwa kama ya udaktari kuficha ujinga na uchawa wako. Kwa huu uandishi na uwasilishaji wa majibu yako, tunaomba Mungu kuwa hilo liwe ni jina tu unalolitumia hapa jukwaani na si taaluma yako ya kweli. Maana kuwa na Daktari wa namna yako ni laana (curse) kubwa sana kwa taaluma hiyo ya kitabibu. Mtu mwenye akili timamu na anayejiamini hujenga hoja zenye mashiko, hakimbilii kuitana 'wapumbavu' au 'mizwazwa' pale anapozidiwa kete. Unaishia kutukana wafuasi wa Lissu kwa sababu ubongo wako umegota mwisho na hauna uwezo wa kujibu hoja za msingi zilizowekwa mezani. Badala ya kupiga kelele na kutoa povu la matusi, jibu hoja zilizopo uonyeshe huo 'udaktari' wako, la sivyo endelea kuwa chawa wa kusubiri posho za propaganda!
 
mimi,
hua naeleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman bila kupoteza muda au wakati kwenye porojo 🐒
Someone please tell this guy how clownish he looks right now. Imagine running away from basic questions about your own education and political hunger, only to come back flexing a generic phrase about 'stating the absolute truth.' The only 'fundamental matter' here is your complete inability to build a logical argument without resorting to cheap distractions. You panicked the moment your 'artwork bridge' defense backfired, and now you’re drowning in your own confusion. Stop embarrassing yourself on this forum and face the music: What is your actual level of education, or is your brain strictly programmed to praise and worship blindly? And by the way, don't forget to take your mouth out of Samia's backside.
 
just relax and calm down gentleman plz,

reduce mayhem 🤣
 
Hehe nasikia anatoka kwenye familia ya kitajiri sio masikini anayetegemea siasa kama yule jamaa Tindu. Hili limekaaje?
Pia Wakurya wanapendana sana na wanapesa hawashindwi kumsponsor kijana wao na harakati zake.
Hili sakata kama halina uhalisia labda kama aliwekewa mtego akajaa
 
Fedha za tone tone ikikusanywa milioni kumi, milioni mbili tu ndo zinaenda bank zingine zote zinaliwa na chawa na mahawala wa heche
Hata wakila sisi wananchi ndio tunaowachangaia.
Hata wakihonga sawa tu .
Nje ya maada fungulieni mikutano ya siasa iendelee ili sisi wananchi tuendee kuwachangia akina heche .
 
Mnyika amesema kuwa fedha za tonetone zinazokuswanywa mikutanoni zinawekwa banki, na kisha ili pesa itoke ni lazima ziwekewe saini na watu 2, hivyo pesa za makao makuu zinatoka zikiwa pesa ikiwa imesainiwa na katibu Mkuu.

Tuhuma za matumizi ya pesa kwa viongozi ni uongo, pesa ziko salama
CCM ni wepesi kuliko pamba
 
just relax and calm down gentleman plz,

reduce mayhem 🤣
The only 'mayhem' here is the absolute circus inside your brain, clown. 🎪 Don't tell me to relax just because you panicked and ran out of scripts to defend your miserable 'artwork' bridge. You are a professional joker dodging basic questions because the truth about your low education and political hunger would embarrass you. Stop dancing around with emojis like a court jester, wipe Samia’s boots off your face, and answer the damn questions!
 
Gentleman,
the one who's supposed to defend himself on corruption allegations is joni heche himself and not me completely 🐒
 
Ikimpendeza mnyika afungue akaunti rasmi ya chama humu, na UZI MAALUM WA TOTETONE HUMU MUDA HUU, UZI UWE ENDELEVU, TUCHANGIE TENA KWA KASI! MUDA HUU HUU, ILI CCM WAZIDI KUUMIA!

Kila plan ya CCM kufarakanisha CHADEMA(wenye nchi) ITAFELI TU!
 
Pesa alizofisidi heche alielekeza ziwekwe kwenye akaunti yake binafsi na hakuziwasilisha kwenye chama.

Na aliehoji pesa hizo ziko wapi, ni yule alie muunganisha heche na hao wafaddhili ambao hatimae waliwasilisha pesa kwa heche.

Sasa aliehoji,
alitaka kujua tu, ikiwa pesa alizoziona zikitolewa na hao wafaddhili waliomkabidhi heche, zimewasilishwa kwenye chama?

Na katibu mkuu wala mkurugenzi wa fedha wa chadema hawana taarifa na wala hawajui chochote kuhusu hilo.

Na hapa ndipo changamoto ilipoanzia gentleman na inaendelea mpaka sasa na myika kaikwepa coz haijui na wenye kuijua ni hao wanaohojiana 🐒
Hizi ndizo facts juu ya sakata hili;

1. Binafsi, I know, kwamba, politics sometimes it can be defined as a "dirty game" though it's not rather than being taken by dirty politicians..

2. Inawezekana kabisa kuwa kuna mtu mmoja wa huko kwenu CCM au katika serikali yenu kwa matakwa yake aliamua kumpatia fedha John Heche yeye binafsi kama kumsaidia ktk harakati zake. Hili linawezekana na kwa kweli wala sio kosa wala uhaini..

3. Huko CCM na serikalini ambao furaha yao ni kuona kuwa CHADEMA inadhoofika na kufa kifo cha kawaida kama CUF au NCCR Mageuzi wakapata taarifa kuwa fulani wa CCM amempa John Heche kiasi fulani cha pesa....

4. Aidha, tunaelewa fika kuwa mna watu wenu kwenye mabenki yote ku - trace kila miamala ya kuingia na kutoka ktk Bank Akaunti binafsi zote za John Heche na viongozi wengine wa CHADEMA. Hili kila mtu anajua..

5. Baada ya hapo, wakamshauri huyo mweka fedha abadilishe maelezo kuwa, "...nilichangia tonetone lakini nilipewa maelezo na John Heche mwenyewe kuwa niziweke kwenye Akaunti yake binafsi..!🤔"

6. Kama ni hivyo, basi mweka fedha huyo imekula kwake. Kama akiweka pesa ktk Akaunti binafsi, then hizo sio za chama bali ni za huyo mwenye Akaunti. Na John Mnyika Katibu Mkuu na ambaye ndiye Afisa Masuhuli wa chama, hawezi kuihesabu kuwa fedha ya chama hiyo. Kwa hiyo ndugu Tlaatlaah, naazima lugha yako kidogo kusema - it's nosense kupigia kelele hela za mtu binafsi kama za chama.!!

MWISHO:
#Naomba nikusaidie namna njema ya kuwasilisha propaganda hii ili iwe strong na ishawishi umma kumdharau Heche na kumuona kuwa kumbe naye ni fisadi tu;

1. Kama ni kweli umeziona ktk Akaunti yake binafsi, then it's okay na maana yake ni kuwa hizo ni fedha zake. By the way, si wewe mwenyewe umesema "ziliingia katika Bank Account binafsi..?"

2. Kwa ushauri tu ni kuwa, japokuwa wewe Tlaatlaah na mwenzio Lucas Mwashambwa ni Chawa original wa CCM na muuaji mkuu Samia Suluhu Hassan, sasa ingalau ili hoja yako ipate nguvu na usionekane nyie ni "wazushi wajinga" msioweza ku strategize ujinga wenu basi fanyeni yafuatayo;

✓ Tuambie kwa ushahidi hizo fedha ziliwekwa ktk Akaunti ya Heche na nani..?

✓ Muulize huyo mweka fedha aliziweka kwenye Benki Account binafsi ya Heche zilikuwa ni kwa ajili ya nini? (Ofcoz, hili swali ni la kijinga mno kumuuliza mtu yeyote kuhusu mahusiano yake binafsi na mtu mwingine iwe ni ya kifedha au biashara nk). Lakini Muulize tu kwa kuwa wewe mwenyewe ni mjinga ili iwasaidie kuipa nguvu hoja yenu..!
 
Ikimpendeza mnyika afungue akaunti rasmi ya chama humu, na UZI MAALUM WA TOTETONE HUMU MUDA HUU, UZI UWE ENDELEVU, TUCHANGIE TENA KWA KASI! MUDA HUU HUU, ILI CCM WAZIDI KUUMIA!

Kila plan ya CCM kufarakanisha CHADEMA(wenye nchi) ITAFELI TU!
🤣🤣🤣🤣🤣
Dah, ccm iumie kwani hilo tone unalokamuliwa unaenda kulichukua ccm?!!!! Si unatoa Hela zako mwenyewe ulizouza kababu?!! Ufisadi wa nyumbani kwenu nao mnailaumu ccm, kweli?!!!!!
 
Back
Top Bottom