Hizi ndizo facts juu ya sakata hili;
1. Binafsi, I know, kwamba, politics sometimes it can be defined as a "dirty game" though it's not rather than being taken by dirty politicians..
2. Inawezekana kabisa kuwa kuna mtu mmoja wa huko kwenu CCM au katika serikali yenu kwa matakwa yake aliamua kumpatia fedha John Heche yeye binafsi kama kumsaidia ktk harakati zake. Hili linawezekana na kwa kweli wala sio kosa wala uhaini..
3. Huko CCM na serikalini ambao furaha yao ni kuona kuwa CHADEMA inadhoofika na kufa kifo cha kawaida kama CUF au NCCR Mageuzi wakapata taarifa kuwa fulani wa CCM amempa John Heche kiasi fulani cha pesa....
4. Aidha, tunaelewa fika kuwa mna watu wenu kwenye mabenki yote ku - trace kila miamala ya kuingia na kutoka ktk Bank Akaunti binafsi zote za John Heche na viongozi wengine wa CHADEMA. Hili kila mtu anajua..
5. Baada ya hapo, wakamshauri huyo mweka fedha abadilishe maelezo kuwa, "...nilichangia tonetone lakini nilipewa maelezo na John Heche mwenyewe kuwa niziweke kwenye Akaunti yake binafsi..!🤔"
6. Kama ni hivyo, basi mweka fedha huyo imekula kwake. Kama akiweka pesa ktk Akaunti binafsi, then hizo sio za chama bali ni za huyo mwenye Akaunti. Na John Mnyika Katibu Mkuu na ambaye ndiye Afisa Masuhuli wa chama, hawezi kuihesabu kuwa fedha ya chama hiyo. Kwa hiyo ndugu
Tlaatlaah, naazima lugha yako kidogo kusema - it's nosense kupigia kelele hela za mtu binafsi kama za chama.!!
MWISHO:
#Naomba nikusaidie namna njema ya kuwasilisha propaganda hii ili iwe strong na ishawishi umma kumdharau Heche na kumuona kuwa kumbe naye ni fisadi tu;
1. Kama ni kweli umeziona ktk Akaunti yake binafsi, then it's okay na maana yake ni kuwa hizo ni fedha zake. By the way, si wewe mwenyewe umesema "ziliingia katika Bank Account binafsi..?"
2. Kwa ushauri tu ni kuwa, japokuwa wewe
Tlaatlaah na mwenzio
Lucas Mwashambwa ni Chawa original wa CCM na muuaji mkuu Samia Suluhu Hassan, sasa ingalau ili hoja yako ipate nguvu na usionekane nyie ni "wazushi wajinga" msioweza ku strategize ujinga wenu basi fanyeni yafuatayo;
✓ Tuambie kwa ushahidi hizo fedha ziliwekwa ktk Akaunti ya Heche na nani..?
✓ Muulize huyo mweka fedha aliziweka kwenye Benki Account binafsi ya Heche zilikuwa ni kwa ajili ya nini? (Ofcoz, hili swali ni la kijinga mno kumuuliza mtu yeyote kuhusu mahusiano yake binafsi na mtu mwingine iwe ni ya kifedha au biashara nk). Lakini Muulize tu kwa kuwa wewe mwenyewe ni mjinga ili iwasaidie kuipa nguvu hoja yenu..!