Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Kuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa uprofesa wa Tanzania ni takataka hovyo kabisa. Sasa Cha kushangaza kijana machachari John Mnyika amemparaza wakili wa mchongo aitwae katuga Kwa maswali yake uchwara naamini leo hatarudia tena lazima aache ndala.