Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Mnachanganya mtu kasomea kitu kingine harafu mnataka awe na anajua kwa kila jambo ni kitu kigumu mimi nadhani mtu akisomea kitu fulani atakijua hicho kitu kwa ufasaha alichosomea ila sio kwamba atajua na vitu vingine ambavyo watu wanajaji hapana maana muda wale kautumia kwenye hicho kitu alichosomea..Je, wewe una PhD ili uweze kutathimini wenzako? Kama unayo kweli, tupe link ya andiko lako kwani PhD za maana huwa zinawekwa online na vyuo vilivyo vya maana. Haya mambo ya kudharau kazi au elimu ya watu si sahihi, hasa kama wewe huna, la sivyo wewe una wivu na roho ya kichawi