Kiboko ya Mazwazwa
JF-Expert Member
- Feb 22, 2026
- 1,802
- 3,271
Ukisimamia haki dhidhi ya uongo lazima utoboe. Sasa kina Katuga wanajaribu fanya nyeusi iwe nyeupe alafu mbaya zaidi ni mbele ya watu wanaojielewa lazima wennye jiweKuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa uprofesa wa Tanzania ni takataka hovyo kabisa. Sasa Cha kushangaza kijana machachari John Mnyika amemparaza wakili wa mchongo aitwae katuga Kwa maswali yake uchwara naamini leo hatarudia tena lazima aache ndala.
Upo sahihi ndio maana mtu anaweza kusoma ila akawa bado akili hana kabisaa kwa sababu ya utofauti wa akili za kuzaliwa nazo bado mmoja hata kama ajasoma anamzidi yule aliesoma..Kila mwanadamu ana akili,ila TU zinatofautiana..
Iwe umesoma au haujasoma.
Unaweza kuwa daktari/profesa lakini sio kigezo kwamba umewazidi akili wote wasiofikia hapo ulipo.
Kosa la mtu mmoja haliwezi kuwa la watu wote! Huu ni wivu kwa vile wewe hujafikia kiwango hicho cha elimu. Roho hizi ni za kichawiKuna clip moja ilisambaa ikimuonyesha mtu aliyeitwa profesa wa Tanzania akihojiwa kwenye Tribunals za nje ambapo alikuwa anajibu maswali ya mawakili wa huko juu ya Tanzania Kuvunja mkataba na kampuni ya uwekezaji, profesa huyo alionekana akijibu ugoro in other words snuff ndipo nilipogundua kuwa uprofesa wa Tanzania ni takataka hovyo kabisa. Sasa Cha kushangaza kijana machachari John Mnyika amemparaza wakili wa mchongo aitwae katuga Kwa maswali yake uchwara naamini leo hatarudia tena lazima aache ndala.
Akili na busara hivi mtu huzaliwa navyo. Na vinakuwa kadri umri wako unavyosogea.ukiwa navyo vyote ni vizuri zaidi na automatically unakuwa na utu.Na hapo mbele utazawadiwa kitu kinaitwa hekimaUpo sahihi ndio maana mtu anaweza kusoma ila akawa bado akili hana kabisaa kwa sababu ya utofauti wa akili za kuzaliwa nazo bado mmoja hata kama ajasoma anamzidi yule aliesoma..
Upo sahihi kuna jamaangu mmoja Mbeya alituzidi umri kidogo alisoma mpaka darasa la saba alikua na akili balaa wakati yeye anawaza kujenga hotel kubwa Wafanyabiashara wakubwa wa Mkoa Mbeya wakawa wanamfata asipoteze hela bora anununue fusso Tandamu kipindi hicho ndio zinaingia jamaa aliwakatalia akamaliza ujenzi wake na Hotel ikaanza kazi alikua kichwa balaa baada ya kuona yeye kafanikiwa ndio nao wakaanza kutaka kufanya uwekezaji kama huo jamaa alikua kichwa mno shule darasa la saba ila mkikaa kuongelea fursa aisee kichwa alikua nacho ni marehemu kwa sasa hivi alipata ajali ya kugongana na bus kutoka DRC..Akili na busara hivi mtu huzaliwa navyo. Na vinakuwa kadri umri wako unavyosogea.ukiwa navyo vyote ni vizuri zaidi na automatically unakuwa na utu.Na hapo mbele utazawadiwa kitu kinaitwa hekima
Ukiwa msomi/kiongozi halafu ukawa navyo hivi Kila unaposimama unapewa attention ya kutosha na walio juu Yako na chini yako.
Na ukivikosa ndio kama hivi.
Mkuu huu sio wivu,ni tatizo la "mindset"iliyopo katika nchi yetu.Kama umesoma Udsm miaka ya nyuma kidogo utaona jinsi maprofesa walivyo "behave" ,wanajitanabaisha kama wao ni wajuu zaidi na kuwadharau wasiofika hapo.Sasa ikitokea mazingira ya kama yaliyopo kwenye mada ndio unakuta watu wanakomenti kama huyo ulomjibuKosa la mtu mmoja haliwezi kuwa la watu wote! Huu ni wivu kwa vile wewe hujafikia kiwango hicho cha elimu. Roho hizi ni za kichawi
Kwa taarifa yako japo hili sikutaka mlijue hapa jf, huyo katuga(kikwetu ni kajinga) pamoja na wewe naweza wafundisha ili mpate maarifa bora kwenye Elimu ya Sheria unafikiri Lissu alipomjibu kuwa Sheria ni critical thinking na sio multiple choice alikosea? The answer is no Sheria sio multiple choice na ukifundishwa multiple choice kama kina katuga jiandae kuwa mjinga when it comes to practicability in court maana huko ni argument to persuade the judge or magistrate mfano issue inahusu law of tort or breach of contract unawezaje kutumia multiple choice?Kosa la mtu mmoja haliwezi kuwa la watu wote! Huu ni wivu kwa vile wewe hujafikia kiwango hicho cha elimu. Roho hizi ni za kichawi
Mkuu ni kweli,Kuna siku tulikwenda Kijiji Fulani tukaomba kufanya mkutano na wananchi.Sasa Kuna mzee alisimama akachangia.Upo sahihi kuna jamaangu mmoja Mbeya alituzidi umri kidogo alisoma mpaka darasa la saba alikua na akili balaa wakati yeye anawaza kujenga hotel kubwa Wafanyabiashara wakubwa wa Mkoa Mbeya wakawa wanamfata asipoteze hela bora anununue fusso Tandamu kipindi hicho ndio zinaingia jamaa aliwakatalia akamaliza ujenzi wake na Hotel ikaanza kazi alikua kichwa balaa baada ya kuona yeye kafanikiwa ndio nao wakaanza kutaka kufanya uwekezaji kama huo jamaa alikua kichwa mno shule darasa la saba ila mkikaa kuongelea fursa aisee kichwa alikua nacho ni marehemu kwa sasa hivi alipata ajali ya kugongana na bus kutoka DRC..
Shida ni kuwasilisha uongo,badala ya ukweli Huku wanaosikiliza walijua ni uongo!Wasomi wetu wanaumbuka vibaya sana kwenye majukwaa ya kimataifa, especially when facing sharp legal minds katika mabaraza ya usuluhishi.
Ni aibu kubwa kwa msomi mzima kudhani anaweza kudanganya hadhara inayojua ukweliShida ni kuwasilisha uongo,badala ya ukweli Huku wanaosikiliza walijua ni uongo!
Mimi nimesoma sana sana. Nikikwambia elimu yangu utashituka. Ukweli unabaki pale pale kusoma sana sio kigezo cha kuja mambo ama kuwa na critical thinking. Nawajua baadhi ya watu wana PhDs lakini kichwani watupuKosa la mtu mmoja haliwezi kuwa la watu wote! Huu ni wivu kwa vile wewe hujafikia kiwango hicho cha elimu. Roho hizi ni za kichawi
Hujanisoma! Mimi nimeumia na kichea chako cha habari, hususan uprofesa wa Tanzania ni takataka. Kwa maana hii naamini wewe si Profesa ila unaumia unapomuona mtu ni Profesa. Profesa ni walimu wa watoto wetu, ni vyema kuwaheshimu na kama kuna ambaye amepata uprofesa bila kukidhi haja, tumzodoe yeye si wote.Kwa taarifa yako japo hili sikutaka mlijue hapa jf, huyo katuga(kikwetu ni kajinga) pamoja na wewe naweza wafundisha ili mpate maarifa bora kwenye Elimu ya Sheria unafikiri Lissu alipomjibu kuwa Sheria ni critical thinking na sio multiple choice alikosea? The answer is no Sheria sio multiple choice na ukifundishwa multiple choice kama kina katuga jiandae kuwa mjinga when it comes to practicability in court maana huko ni argument to persuade the judge or magistrate mfano issue inahusu law of tort or breach of contract unawezaje kutumia multiple choice?
NB: Nyie ambao mmekalia kuimba mama mitano tena ndio mtabaki na ujinga wenu mpaka mtazeeka humu jf wakati sisi baada ya kumaliza kusoma ndio tunakuja kuwachora humu jf na ukileta matusi unajibiwa matusi,ukileta hoja unajibiwa hoja, uelewa hio na ikukae kichwani.
Je, wewe una PhD ili uweze kutathimini wenzako? Kama unayo kweli, tupe link ya andiko lako kwani PhD za maana huwa zinawekwa online na vyuo vilivyo vya maana. Haya mambo ya kudharau kazi au elimu ya watu si sahihi, hasa kama wewe huna, la sivyo wewe una wivu na roho ya kichawiMimi nimesoma sana sana. Nikikwambia elimu yangu utashituka. Ukweli unabaki pale pale kusoma sana sio kigezo cha kuja mambo ama kuwa na critical thinking. Nawajua baadhi ya watu wana PhDs lakini kichwani watupu
Sahihi mkuu!Ni aibu kubwa kwa msomi mzima kudhani anaweza kudanganya hadhara inayojua ukweli